UTANDAWAZI GROUP KUNOGESHA TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO
![](http://1.bp.blogspot.com/-gH7eSDc9r-w/VCROYu9m0MI/AAAAAAAGlzI/WP4egFUiDMw/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
NA ANDREW CHALE, BAGAMOYO
KUNDI maalufu la ngoma asili la Utandawazi Theater Group ‘Matwigachallo’ jioni ya kesho wanatarajiwa kuwasha moto wa aina yake kwenye tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililoanza Septemba 22 mwaka huu kwenye viunga vya chuo hicho.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Abmic am Bafadhil ‘Bura’ alieleza kuwa, kundi hilo ambalo kwa sasa limejizolea umaalufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, linatarajiwa kutoa burudani ya ngoma za asili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMwanamuziki Papa Wemba Awasili Dar, Aelekea Bagamoyo Kunogesha Tamasha la Karibu Music Festival 2015
Papa Wemba ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA) majira ya saa nane kasoro na ndege ya shirika la Kenya (Kenya Airways-KQ).
Mara baada ya kuwasili msanii huyo pamoja na wanamuziki wake walipokewa na Meneja wake anayeratibu safari hiyo, Chebli Msaidie pamoja na waandaaji wa Tamasha...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h7TIJo5fj3Q/Vd2LGxLMEhI/AAAAAAAH0Io/PoHhNgG57Ic/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Kila la heri Tamasha la Sanaa Bagamoyo
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Tamasha la Sanaa Bagamoyo latinga siku ya pili
WAKATI Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo likiwa limeanza jana kwa maandamano ya kuzunguka mitaa mbalimbali ya mji wa Bagamoyo, leo wadau mbalimbali wa sanaa wanapata mafunzo ya kupinga rushwa yanayoratibiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
Katika warsha hiyo pia mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali, maofisa kutoka ofisi mbalimbali na wizara mbalimbali wamealikwa ili kupata mafunzo hayo yatakayosaidia kupinga na kukabiliana na rushwa hasa...
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Bongo Fleva wakacha Tamasha la Sanaa Bagamoyo
NA FESTO POLEA
TAMASHA la 34 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililoanzishwa mwaka 1981 na Chuo cha Sanaa Bagamoyo (kwa sasa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo), linatarajiwa kufanyika kwa siku sita katika viwanja vya chuo hicho bila ya kuwa na ushiriki wa wasanii wa Bongo Fleva.
Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda, alilieleza MTANZANIA kwamba hakuna msanii wa Bongo Fleva yeyote aliyejitokeza kuomba kushiriki katika tamasha hilo, jambo ambalo linaonyesha kutokuwa na...
9 years ago
Dewji Blog11 Sep
Ratiba ya maonyesho -Tamasha la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo 2015!
Tamasha la 34 la Sanaa za Maonyesho na Utamaduni Bagamoyo…
Sehemu ya umati wa watu wanaojitokeza kushuhudia tamasha hilo…
RATIBA YA TAMASHA – PROGRAM.pdf
11 years ago
Michuzi26 Jun
9 years ago
Dewji Blog21 Sep
Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kuanza rasmi leo
Ratiba Ya Ufunguzi Wa Tamasha 2015 by andrewchale