SAIKOLOJIA : Je, unao uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?
Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo. Iwapo wewe ni miongoni mwa watu wenye fikra hizi, jiulize kama unaweza kuishi bila kuongea na watu, Je huwa haitokei ukamweleza mtu au watu mawazo ambayo ungependelea wayaelewe na kuafikiana na wewe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Je una uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?
Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo.
9 years ago
Mwananchi16 Aug
SAIKOLOJIA : Namna ya kujenga mawazo kuhusu watu wengine walivyo
Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.
9 years ago
Mwananchi13 Sep
SAIKOLOJIA : Je, unajua namna ya kujenga mawazo sahihi kuhusu watu wengine walivyo?
Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.
9 years ago
Mwananchi15 Nov
SAIKOLOJIA : Je, unazijua mbinu za kushawishi?
Je katika maisha yako ya kila siku huwa unafanikiwa kumshawishi mtu kufanya jambo fulani? Linaweza kuwa jambo dogo tu kama vile kumshawishi mtu akuazime kalamu yake uandikie kwa sababu ni nzuri.
9 years ago
Mwananchi11 Oct
SAIKOLOJIA : Kanuni zitakazo kusaidia kuimarisha uwezo wa kukumbuka
Ni dhahiri kwamba kuwa na uwezo wa kukumbuka ni jambo muhimu katika kila aina ya shughuli, ikiwamo kazi au burudani. Je, wewe una uwezo wa kukumbuka jambo ulilojifunza kwa kusoma ama kujifunza kwa namna nyingine? Nahisi wewe utaweza kuwa mmoja kati ya watu wengi watakaojibu kuwa hawana uwezo mzuri wa kukumbuka kile walichojifunza.
10 years ago
Mwananchi02 Aug
SAIKOLOJIA : Jinsi ya kutumia propaganda katika maisha yako
Mmoja wa wasomaji wangu aliyesoma makala yangu niliyoitoa Septemba 2014 niliyoiita “Propaganda za Wafanyabiashara†ameniomba nieleze zaidi kuhusu propaganda. Hususan, nieleze kama propaganda hutumika katika biashara tu au hata katika shughuli nyingine na kama propaganda ni kitu kizuri au kibaya.
10 years ago
Mwananchi01 Mar
‘Ni kosa kushawishi watu wasipige Kura ya Maoni’
>“Siyo vizuri kukataza watu kushiriki shughuli halali kisheria. Aidha, siyo vizuri kuanza kujenga tabia ya kushinikiza mamlaka halali kufanya uamuzi ili kukidhi matakwa ya vikundi vichache vya watu wanaotoa shinikizo hayo.â€
9 years ago
Mwananchi22 Nov
SAIKOLOJIA: Unaweza kufanya watu wakuthamini?
Je unathaminiwa na watu katika jamii? Kama unathaminiwa ni mambo gani yanayokufanya uone kuwa unathaminiwa na kuhisi hivyo?
10 years ago
Mwananchi19 Jul
SAIKOLOJIA : je, Unajua kurekebisha mtindo wako wa kusoma kufuatana na malengo yako ya kusoma?
Je wakati mwingine unaposoma habari fulani huwa unashindwa kuelewa kilichokusudiwa? Je, hali hii huwa inatokea mara kwa mara au mara chache tu? Je, inapotokea hali hii huwa unafanya nini? Je unafikiri ni wewe tu unayekabiliwa na tatizo hili? Hata hivyo, usiwe na wasiwasi kwa kuwa wako watu wengi wanaokabiliwa na tatizo kama hili.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania