Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je una uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?

Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unao uwezo wa kushawishi watu wengine waafikiane na mawazo yako?

Nilipofikiria kuandika makala kuhusu uwezo wa kushawishi watu wengine wakubaliane na mawazo yetu niliingiwa na shaka kuwa huenda baadhi ya watu wasione umuhimu wa mtu kuwa na stadi kama hizo. Iwapo wewe ni miongoni mwa watu wenye fikra hizi, jiulize kama unaweza kuishi bila kuongea na watu, Je huwa haitokei ukamweleza mtu au watu mawazo ambayo ungependelea wayaelewe na kuafikiana na wewe.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Namna ya kujenga mawazo kuhusu watu wengine walivyo

Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unajua namna ya kujenga mawazo sahihi kuhusu watu wengine walivyo?

Siku moja niliamua kwenda katika kijiji fulani ili kumtembelea rafiki yangu. Kwa kuwa ilikuwa siku ya Jumapili na sikutoa taarifa nilimkuta akiwa kwenye mkutano wa kijiji. Wala hukuweza kuja kunilaki kwa kuwa yeye alikuwa mwenyekiti wa kikao. Hivyo aliniashiria niketi kwenye kiti kilichokuwa wazi nyuma ya ukumbi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanesco: Mgodi wa Kidatu bado una uwezo

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema mgodi wa kufua umeme uliojengwa Kidatu Morogoro mwaka 1975, bado una uwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha. Kauli hiyo,...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ni kosa kushawishi watu wasipige Kura ya Maoni’

>“Siyo vizuri kukataza watu kushiriki shughuli halali kisheria. Aidha, siyo vizuri kuanza kujenga tabia ya kushinikiza mamlaka halali kufanya uamuzi ili kukidhi matakwa ya vikundi vichache vya watu wanaotoa shinikizo hayo.”

 

9 years ago

Bongo5

Una kipaji au uwezo wa kuandika mashairi? Badilisha Poetry X-Change ipo njiani kuja Tanzania

Taasisi ya Africa Centre imekuja na shavu jingine kwa waandishi wa mashairi au malenga kuonesha uwezo wao. Kupitia mradi huo uitwao, Badilisha Poetry X-Change, waandishi wanaweza kuwasilisha mashairi yao kwa maneno au katika mfumo wa sauti kwa kuingia kwenye link hii. Badilisha Poetry X-Change ni maktaba kubwa ya mtandaoni ya maishairi ya kiafrika duniani kote. […]

 

10 years ago

Mwananchi

JITAMBUE:Je unajua kuwa una haja ya kujifunza tabia mpya katika maisha yako?

Je unaweza kuandika orodha ya tabia zako zote? Kama unaweza kuziandika zitenge katika makundi mawili. Kundi moja liwe la zile ambazo zinakusaidia na zenye manufaa hata kwa watu wengine na kundi la pili ni zile ambazo hazina maana na hata zinawaudhi watu wengine. Kama utafanya zoezi hili kwa uaminifu huku ukiamini hakuna atakayeiona orodha yako kuna mambo mawili ambayo huenda ukafikiria kuyafanya.

 

10 years ago

Bongo5

Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!

Kuna vipaji vingi vya muziki hapa nchini ambavyo kutokana na sababu mbalimbali, vimeshindwa kuonekana. Kikwazo kikubwa ni gharama za kuingia studio na kurekodi wimbo wenye kiwango kizuri cha kuchezwa redioni. Hata kwa wale waliofanikiwa kurekodi nyimbo zao, bado wanakutana na vikwazo vingi pale wanapopeleka nyimbo zao kwenye vituo vya redio. Kutokana na kuwepo wingi wa […]

 

10 years ago

GPL

RAHA YA MAFANIKIO YAKO USAIDIE NA WENGINE WAFANIKIWE!

Mpenzi msomaji wangu, unapojaaliwa kuwa na mafanikio jambo la kwanza unatakiwa kumshukuru sana Mungu pamoja na wale ambao kwa namna moja ama nyingine wamekufanya ufike hapo ulipo.Huwezi kufanikiwa kwa ujanja wako, mafanikio yako yote nyuma yake kuna mkono wa Mungu. Yeye ndiye anayeweza kuziona jitihada ulizonazo na akaona akutimizie ndoto zako. Ukiacha yeye, wapo watu mmojammoja au kwa vikundi na taasisi ambao wamechangia wewe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani