JITAMBUE:Je unajua kuwa una haja ya kujifunza tabia mpya katika maisha yako?
Je unaweza kuandika orodha ya tabia zako zote? Kama unaweza kuziandika zitenge katika makundi mawili. Kundi moja liwe la zile ambazo zinakusaidia na zenye manufaa hata kwa watu wengine na kundi la pili ni zile ambazo hazina maana na hata zinawaudhi watu wengine. Kama utafanya zoezi hili kwa uaminifu huku ukiamini hakuna atakayeiona orodha yako kuna mambo mawili ambayo huenda ukafikiria kuyafanya.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Dec
JITAMBUE: Je, una malengo katika maisha?
Je, leo unapofikiria maisha yako yaliyopita unafurahi na kuridhika kuwa uliyaendesha vizuri au hauridhiki? Watu wengi husikitika hadi wakasema kama wengebahatika kupata nafasi kurudia maisha, wasingeishi kama walivyoishi sasa. Wanasema wangekuwa makini zaidi katika kupanga maisha yao ili kuyafanya yawe bora zaidi. Huenda hata wewe unafikiria hivyo.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?
“Watu waangalie nini nafanya, burudani gani ninawapa lakini maisha yangu hayawahusu.â€
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Unajua jinsi ya kukabiliana na vikwazo katika maisha yako?
Kama ungeulizwa ni vitu gani vinakukwaza katika maisha, nina hakika ungeorodhesha vitu vingi kama vile kukosa nyumba, kukosa gari, kukosa kazi ya mshahara mzuri, kukosa ushirikiano na watu wanaokuzunguka na vikwazo vingine kadha wa kadha.
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Je,unajua jinsi ya kuyafanya maisha yako yawe na shangwe ?
Siku hizi katika kila mji ninakokwenda, nastaajabu kuona nguzo za mabomba zinazochomoza kwenye mapaa ya nyumba na juu yake kumetundikwa vitu vya maumbo mbalimbali.Â
10 years ago
Bongo506 Nov
Una kipaji cha kuimba? Airtel Trace Music Stars inaweza kubadilisha maisha yako!
Kuna vipaji vingi vya muziki hapa nchini ambavyo kutokana na sababu mbalimbali, vimeshindwa kuonekana. Kikwazo kikubwa ni gharama za kuingia studio na kurekodi wimbo wenye kiwango kizuri cha kuchezwa redioni. Hata kwa wale waliofanikiwa kurekodi nyimbo zao, bado wanakutana na vikwazo vingi pale wanapopeleka nyimbo zao kwenye vituo vya redio. Kutokana na kuwepo wingi wa […]
9 years ago
Mwananchi06 Sep
SAIKOLOJIA : Je, una malengo katika maisha?
Je, leo unapofikiria maisha yako yaliyopita, unafurahi na kuridhika kuwa uliyaendesha vizuri au hauridhiki? Watu wengi husikitika hadi wakasema kama wengebahatika kupata nafasi kurudia maisha, wasingeishi kama walivyo sasa.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Unajua mambo ya kuzingatia wakati unapoweka malengo katika maisha?
Je una malengo uliyoweka katika maisha yako? Kama unayo uliyaweka lini na una hakika kama uliyaandaa inavyostahili? Kama huna malengo ama unayo lakini huna hakika kama yameandaliwa inavyopasa usisikitike kwa sababu hii ni changamoto inayowakabili watu wengi katika maisha.
10 years ago
Mwananchi26 Oct
unaweza kukabiliana na fadhaa katika maisha yako?
Je, unapofikwa na maafa huwa unafadhaika kiasi kikubwa hadi ukashindwa kujitambua? Kama jibu lako ni ndiyo je hali hiyo huathiri fikira zako hadi ukashindwa kujitambua?
10 years ago
Mwananchi02 Aug
SAIKOLOJIA : Jinsi ya kutumia propaganda katika maisha yako
Mmoja wa wasomaji wangu aliyesoma makala yangu niliyoitoa Septemba 2014 niliyoiita “Propaganda za Wafanyabiashara†ameniomba nieleze zaidi kuhusu propaganda. Hususan, nieleze kama propaganda hutumika katika biashara tu au hata katika shughuli nyingine na kama propaganda ni kitu kizuri au kibaya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania