Unajua mambo ya kuzingatia wakati unapoweka malengo katika maisha?
Je una malengo uliyoweka katika maisha yako? Kama unayo uliyaweka lini na una hakika kama uliyaandaa inavyostahili? Kama huna malengo ama unayo lakini huna hakika kama yameandaliwa inavyopasa usisikitike kwa sababu hii ni changamoto inayowakabili watu wengi katika maisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziAFRIKA KUZINGATIA VIPAUMBELE VYAKE WAKATI WA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO
10 years ago
Vijimambo
MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUANDAA HARUSI YAKO

Kwa ufupi kunakuwa hakuna ubora wa harusi au mwenendo mzima unakuwa hauko vizuri.
Kuna familia ambazo wanajitahidi kupanga vizuri na kufanya sherehe...
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Unajua jinsi ya kukabiliana na vikwazo katika maisha yako?
Kama ungeulizwa ni vitu gani vinakukwaza katika maisha, nina hakika ungeorodhesha vitu vingi kama vile kukosa nyumba, kukosa gari, kukosa kazi ya mshahara mzuri, kukosa ushirikiano na watu wanaokuzunguka na vikwazo vingine kadha wa kadha.
11 years ago
GPL
MAMBO 15 YA KUZINGATIA KATIKA KUSAKA MAFANIKIO!-2
WIKI iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, lengo ni kukutia moyo. Tambua mafanikio siyo ya wale tu, hata wewe leo hii ukiamua na ukaweka nia, maisha yako lazima yatabadilika.
Hata hivyo, siyo kazi rahisi kama unavyofikiria. Inahitaji mtu mwenye uchungu wa maisha, anayeumia kuwaona watu wenye mafanikio wanavyoyafurahia maisha. Basi, nimalizie mambo sita yaliyokuwa yamebaki kutimiza yale 15 niliyodhamiria kukupa wewe msomaji...
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Mambo ya kuzingatia katika mkataba wa ajira
Kama ilivyo kwa mikataba mingine, uhalali wa mkataba ni lazima ujengwe katika nguzo kuu tano ambazo ni makubaliano, hiari ya kuingia mkataba, malipo halali, uwezo wa kuingia mkataba pamoja na uhalali wa shughuli yenyewe itakayofanyika.
9 years ago
Mwananchi20 Dec
JITAMBUE: Je, una malengo katika maisha?
Je, leo unapofikiria maisha yako yaliyopita unafurahi na kuridhika kuwa uliyaendesha vizuri au hauridhiki? Watu wengi husikitika hadi wakasema kama wengebahatika kupata nafasi kurudia maisha, wasingeishi kama walivyoishi sasa. Wanasema wangekuwa makini zaidi katika kupanga maisha yao ili kuyafanya yawe bora zaidi. Huenda hata wewe unafikiria hivyo.
10 years ago
Mwananchi06 Sep
SAIKOLOJIA : Je, una malengo katika maisha?
Je, leo unapofikiria maisha yako yaliyopita, unafurahi na kuridhika kuwa uliyaendesha vizuri au hauridhiki? Watu wengi husikitika hadi wakasema kama wengebahatika kupata nafasi kurudia maisha, wasingeishi kama walivyo sasa.
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Mambo ya msingi kuzingatia katika uchanganuzi wa masoko
Masoko ni kitu muhimu sana katika biashara. Pasipokuwa na masoko ya bidhaa/huduma hakuna biashara. Kwa maneno mengine kukua kwa biashara kunatokana na uwepo wa masoko ya uhakika. Kwa lugha rahisi masoko ni wateja au watumiaji wa huduma au bidhaa husika na ili uweze kuwapata sharti utoe huduma/bidhaa zenye kukidhi mahitaji yao.
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Mambo muhimu ya kuzingatia katika mchanganuo wa fedha
Miongoni mwa mambo muhimu katika mpango wa biashara ni mchanganuo wa kifedha kwa ajili ya biashara husika. Mchanganuo wa kifedha hutoa taarifa juu ya mapato na matumizi ya kila mwezi na hatimaye mwaka mzima au zaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania