Mambo muhimu ya kuzingatia katika mchanganuo wa fedha
Miongoni mwa mambo muhimu katika mpango wa biashara ni mchanganuo wa kifedha kwa ajili ya biashara husika. Mchanganuo wa kifedha hutoa taarifa juu ya mapato na matumizi ya kila mwezi na hatimaye mwaka mzima au zaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mambo muhimu ya kuzingatia uzazi salama
Uzazi ni suala la msingi linalotawala viumbe vyote vilivyo hai duniani.
9 years ago
Mwananchi11 Nov
Dk Magufuli atajiwa mambo muhimu ya kuzingatia kwenye utawala wake
Wakati Rais John Magufuli akianza kuchukua hatua za kudhibiti matumizi ya Serikali, wasomi na wanasiasa wamemtajia mambo 14 ambayo wamesema akiyazingatia atalinusuru Taifa dhidi ya gharama zisizo za lazima.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj1ke4yNg1XauzJQNIUVR7sdsOJgWNhATLHu2WpGo4pS7DYsIFCWBFBk-xhjTI9DGJ4jZKra9GRXUQx5K-LwKNgD/success.jpg?width=650)
MAMBO 15 YA KUZINGATIA KATIKA KUSAKA MAFANIKIO!-2
WIKI iliyopita nilianza kuzungumzia mada hii, lengo ni kukutia moyo. Tambua mafanikio siyo ya wale tu, hata wewe leo hii ukiamua na ukaweka nia, maisha yako lazima yatabadilika.
Hata hivyo, siyo kazi rahisi kama unavyofikiria. Inahitaji mtu mwenye uchungu wa maisha, anayeumia kuwaona watu wenye mafanikio wanavyoyafurahia maisha. Basi, nimalizie mambo sita yaliyokuwa yamebaki kutimiza yale 15 niliyodhamiria kukupa wewe msomaji...
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Mambo ya kuzingatia katika mkataba wa ajira
Kama ilivyo kwa mikataba mingine, uhalali wa mkataba ni lazima ujengwe katika nguzo kuu tano ambazo ni makubaliano, hiari ya kuingia mkataba, malipo halali, uwezo wa kuingia mkataba pamoja na uhalali wa shughuli yenyewe itakayofanyika.
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Mambo ya msingi kuzingatia katika uchanganuzi wa masoko
Masoko ni kitu muhimu sana katika biashara. Pasipokuwa na masoko ya bidhaa/huduma hakuna biashara. Kwa maneno mengine kukua kwa biashara kunatokana na uwepo wa masoko ya uhakika. Kwa lugha rahisi masoko ni wateja au watumiaji wa huduma au bidhaa husika na ili uweze kuwapata sharti utoe huduma/bidhaa zenye kukidhi mahitaji yao.
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Mambo ya msingi ya kuzingatia katika upangaji bei za bidhaa
Mara nyingi wajasiriamali wamekuwa wakipata changamoto mbalimbali katika upangaji bei za bidhaa zao au huduma wanazozitoa. Matokeo yake wamekuwa wakipanga bei ambazo hazina uhalisia katika dunia yao ya kufanyia biashara.
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Mambo ya kuzingatia katika kuendesha ujasiriamali kwa mafanikio na furaha
Baadhi ya wajasiriamali waliofanikiwa wanajiona kama rasilimali adimu hapa duniani.
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Unajua mambo ya kuzingatia wakati unapoweka malengo katika maisha?
Je una malengo uliyoweka katika maisha yako? Kama unayo uliyaweka lini na una hakika kama uliyaandaa inavyostahili? Kama huna malengo ama unayo lakini huna hakika kama yameandaliwa inavyopasa usisikitike kwa sababu hii ni changamoto inayowakabili watu wengi katika maisha.
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI ALIASA JESHI LA MAGEREZA KUPUNGUZA MATUMIZI YA FEDHA ZA SERIKALI YASIYO MUHIMU
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania