AFRIKA KUZINGATIA VIPAUMBELE VYAKE WAKATI WA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza siku ya Jumanne, wakati Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipopitisha Azimio linalowasilisha kwa Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali Malengo na Ajenda mpya za Maendeleo Endelevu ( Ajenda 2030) Anaonekana pia Rais wa Baraza Kuu la 69, Bw. Sam Kutessa .
Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akiwa na Afisa Mkuu Siongelael Shilla wakati wa upitishaji wa Azimio namba A/69/L.85 kuhusu Ajenda...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Tanzania kuongoza utekelezaji wa malengo mapya ya maendeleo duniani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa 70 wa Umoja wa Maiataifa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na ushurikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Waziri wa Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe Sophia Simba, Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Yussuf Mzee na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Liberata Mulamula.
-Imeteuliwa mongoni mwa nchi nane tu duniani kufanya kazi hiyo
-Rais Kikwete amesema kuwa Tanzania iko tayari kuifanya kazi hiyo
Tanzania ni...
10 years ago
Vijimambo
MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO


10 years ago
Michuzi
MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU
10 years ago
Mwananchi23 Nov
Unajua mambo ya kuzingatia wakati unapoweka malengo katika maisha?
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
UN kuandika Historia nyingine leo: Kujadili Agenda 2030 ya Malengo Mapya ya Maendeleo Endelevu (SDG’s)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza wakati wa mkutano ulioandaliwa kwa pamoja na Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani na Mashirika ya Kimataifa kama vile Mpango wa Chakula Duniani, Mkutano uliokuwa ukijadili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi na uhusiano wake na usalama wa chakula, lishe na afya. Mkutano huu ulifanyika siku ya alhamis katika Uwakilishi wa Kudumu wa Ujeruman katika Umoja wa...
10 years ago
Michuzi
UMOJA WA MATAIFA LEO KUANDIKA HISTORIA NYINGINE: Anjenda 2030 ambayo utekelezaji wake unaaza mwakani kuchukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Millenia( MDGs)


10 years ago
Mtanzania15 Oct
Manji ataja vipaumbele vyake
NA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAAM
MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, amesema akishinda atahakikisha anaanza na elimu, afya, kuboresha huduma ya maji na kutoa ahadi kwa vijana.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika Viwanja vya Zakhem.
“Suala la elimu limekuwa tatizo katika kata hiyo, hivyo nitatoa shilingi milioni 200 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia kujenga miundombinu ya elimu,” alisema...
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Mosha ataja vipaumbele vyake Moshi Mjini
10 years ago
GPLJANUARY MAKAMBA ATANGAZA NIA YA URAIS, ATOA VIPAUMBELE VYAKE 5