Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji ataja vipaumbele vyake

Manji_fullNA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAAM

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, amesema akishinda atahakikisha anaanza na elimu, afya, kuboresha huduma ya maji na kutoa ahadi kwa vijana.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika Viwanja vya Zakhem.

“Suala la elimu limekuwa tatizo katika kata hiyo, hivyo nitatoa shilingi milioni 200 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia kujenga miundombinu ya elimu,” alisema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mosha ataja vipaumbele vyake Moshi Mjini

Mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha (CCM), ameahidi kujenga soko la kisasa la kimataifa katika eneo la King George Memorial lililopo soko la mitumba.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Habari, Mhe. Nape Nnauye aripoti ofisini, ataja vipaumbele vyake

NAPE AKIKARIBISHWA NA NAIBU WAZIRI -9778

Naibu waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia James Wambura (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika ofisi za wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIKARIBISHWA NA LILI BELEKO 9798

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia) akimkaribisha kwa furaha Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIONGEA NA WAANDISHI -9893

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMAA MHINA 'PIJEI' ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE

Hapa ikionesha fomu baada ya kukabidhiwa. Kada wa CCM Jumaa Mhina 'Pijei' (katikati), akipokea fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe leo mchana. Anaye shuhudia kulia ni Kada wa chama hicho anayewania ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CCM, Ramadhan Ndanga 'Potipoti'. Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimpa maelezo ya kufuata baada ya kukabidhiwa fomu hizo.
Waandishi wa habari...

 

9 years ago

Mwananchi

Museveni ataja vipaumbele

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amezindua ilani yake ya chama na kutaja vipaumbele vyake kwa awamu nyingine ya utawala 2016 kwamba ni elimu na Afya.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli ataja vipaumbele 25

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amefungua pazia la kampeni za chama hicho kwenye Viwanja vya Jangwani katika tukio lililohudhuriwa na maelfu ya wananchi, huku akieleza mambo 25 atakayoyafanya iwapo Watanzania watamchagua kuwa Rais wa Awamu ya Tano.

 

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA ATANGAZA NIA YA URAIS, ATOA VIPAUMBELE VYAKE 5

January Makamba akitangaza nia ya Urais leo. Wananchi wakifuatilia hotuba ya Mhe. Makamba katika Ukumbi uliopo Mlimani City, Dar. Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia CCM, ataja vipaumbele vyake vitano vikiwemo Kuinadi ilani ya CCM, Huduma bora za Jamii, Usimamizi uchumi na Kulinda amani na usalama. Mhe. January ametangaza…...

 

10 years ago

Michuzi

NEPAD YAPIGA HATUA KATIKA VIPAUMBELE VYAKE - DKT. MAYAKI

Picha ya pamoja ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika baada ya Mkutano wao kufunguliwa rasmi jijini Addis Ababa leo.
Na Ally Kondo, Addis AbabaKamati ya Uongozi ya NEPAD imekutana leo Jumatatu jijini Addis Ababa, Ethiopia kutathmini utekelezaji wa programu mbalimbali wa chombo hicho. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shuguli za NEPAD kwa mwaka 2014, Mtendaji Mkuu wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki alieleza kuwa Chombo hicho kimepiga hatua kubwa katika maeneo ya kipaumbele...

 

10 years ago

Vijimambo

NEPAD YAPIGA HATUA KATIKA VIPAUMBELE VYAKE, DKT. MAYAKI

Picha ya pamoja ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika baada ya Mkutano wao kufunguliwa rasmi jijini Addis Ababa leo.

Na Ally Kondo, Addis AbabaKamati ya Uongozi ya NEPAD imekutana leo Jumatatu jijini Addis Ababa, Ethiopia kutathmini utekelezaji wa programu mbalimbali wa chombo hicho. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shuguli za NEPAD kwa mwaka 2014, Mtendaji Mkuu wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki alieleza kuwa Chombo hicho kimepiga hatua kubwa katika maeneo ya...

 

9 years ago

Michuzi

AFRIKA KUZINGATIA VIPAUMBELE VYAKE WAKATI WA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO

 Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza siku ya Jumanne, wakati  Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipopitisha Azimio linalowasilisha kwa Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali  Malengo na Ajenda mpya za Maendeleo Endelevu ( Ajenda 2030)   Anaonekana pia Rais wa Baraza Kuu la 69, Bw. Sam Kutessa .Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa,  akiwa na Afisa Mkuu Siongelael Shilla wakati wa upitishaji wa Azimio  namba A/69/L.85   kuhusu Ajenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani