NEPAD YAPIGA HATUA KATIKA VIPAUMBELE VYAKE - DKT. MAYAKI
Picha ya pamoja ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika baada ya Mkutano wao kufunguliwa rasmi jijini Addis Ababa leo.
Na Ally Kondo, Addis AbabaKamati ya Uongozi ya NEPAD imekutana leo Jumatatu jijini Addis Ababa, Ethiopia kutathmini utekelezaji wa programu mbalimbali wa chombo hicho. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shuguli za NEPAD kwa mwaka 2014, Mtendaji Mkuu wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki alieleza kuwa Chombo hicho kimepiga hatua kubwa katika maeneo ya kipaumbele...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboNEPAD YAPIGA HATUA KATIKA VIPAUMBELE VYAKE, DKT. MAYAKI
Na Ally Kondo, Addis AbabaKamati ya Uongozi ya NEPAD imekutana leo Jumatatu jijini Addis Ababa, Ethiopia kutathmini utekelezaji wa programu mbalimbali wa chombo hicho. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shuguli za NEPAD kwa mwaka 2014, Mtendaji Mkuu wa NEPAD, Dkt. Ibrahim Mayaki alieleza kuwa Chombo hicho kimepiga hatua kubwa katika maeneo ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tAVAG12uBLY/XmebNtJOpuI/AAAAAAALib8/_qpWnmk-C2o_K3mszbU9QQ5StjTLIB8CgCLcBGAsYHQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
Rais Kenyatta, mwenyekiti mpya wa ALMA, aainisha vipaumbele vyake katika vita dhidi ya Malaria
![](https://1.bp.blogspot.com/-tAVAG12uBLY/XmebNtJOpuI/AAAAAAALib8/_qpWnmk-C2o_K3mszbU9QQ5StjTLIB8CgCLcBGAsYHQ/s640/maxresdefault.jpg)
Vipaumbele hivyo vinavyotajwa kuleta mapinduzi makubwa, vinalenga kutafuta suluhu dhidi ya changamoto za mapambano ya kutokomeza malaria. Changamoto hizi zinajumuisha; ushiriki hafifu wa...
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
Miaka 10 ya ustawi, serikali yapiga hatua katika sekta ya Tehema na Sayansi na Teknolojia
1.Katika Miaka 10 ya ustawi, serikali imekuwa katika jitihada za kuendeleza utekelezaji wa mipango na mikakati mbalimbali kwa lengo la kuinua Sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ili kufikia maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
2. Katika Miaka 10 ya ustawi, tumeimarisha Utendaji wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kupitia upya Sheria ya Tume ili kuipa COSTECH mamlaka ya kiudhibiti pamoja na kutambua mchango wa ubunifu.https://youtu.be/ZaXEKpIn-cI
3. Katika Miaka 10 ya...
9 years ago
Mtanzania15 Oct
Manji ataja vipaumbele vyake
NA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAAM
MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, amesema akishinda atahakikisha anaanza na elimu, afya, kuboresha huduma ya maji na kutoa ahadi kwa vijana.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika Viwanja vya Zakhem.
“Suala la elimu limekuwa tatizo katika kata hiyo, hivyo nitatoa shilingi milioni 200 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia kujenga miundombinu ya elimu,” alisema...
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Mosha ataja vipaumbele vyake Moshi Mjini
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IcjrnvMkafc/VIPzHt-f4TI/AAAAAAAG1uM/pta5AHyEusc/s72-c/foot-prints.jpg)
kenya yapiga hatua katika kutambua watu wenye jinsia mbili baada ya hukumu ya kihistoria kutolewa
![](http://2.bp.blogspot.com/-IcjrnvMkafc/VIPzHt-f4TI/AAAAAAAG1uM/pta5AHyEusc/s1600/foot-prints.jpg)
Wakati alipozaliwa mtoto huyo, wafanyakazi wa hospitali waliweka alama ya kuuliza penye kisanduku cha jinsia kwenye fomu ya uzazi mwaka 2009 baada ya kushindwa kuamua kama ni wa kike ama wa kiume.Wakili wa mtoto huyo ameeleza kufurahishwa na hukumu hiyo akisema ni hatua moja kwenda mbele katika kutambua watu wenye jinsia mbili wanaojulikana...
10 years ago
GPLJANUARY MAKAMBA ATANGAZA NIA YA URAIS, ATOA VIPAUMBELE VYAKE 5
9 years ago
MichuziAFRIKA KUZINGATIA VIPAUMBELE VYAKE WAKATI WA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-n94JoQeWm8Y/U7pCQqJUSKI/AAAAAAAFvco/drgLIFVX0r4/s72-c/guns.jpg)
TANZANIA YAPIGA HATUA KATIKA UDHIBITI WA SILAHA NDOGO NDOGO NA NYEPESI
![](http://1.bp.blogspot.com/-n94JoQeWm8Y/U7pCQqJUSKI/AAAAAAAFvco/drgLIFVX0r4/s1600/guns.jpg)
Imeelezwa kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kukabiliana na tatizo la uzagaaji wa silaha ndogo ndogo na nyepesi kutokana na nchi nyingine za Afrika kuja kujifunza jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw.Meshack Ndaskoi wakati akifungua semina ya jinsia na uthibiti wa silaha ndogondogo na nyepesi iliyofanyika katika chuo cha Taaluma...