Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JANUARY MAKAMBA ATANGAZA NIA YA URAIS, ATOA VIPAUMBELE VYAKE 5

January Makamba akitangaza nia ya Urais leo. Wananchi wakifuatilia hotuba ya Mhe. Makamba katika Ukumbi uliopo Mlimani City, Dar. Mbunge wa Bumbuli na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mhe. January Makamba leo ametangaza nia ya kuwania Urais kupitia CCM, ataja vipaumbele vyake vitano vikiwemo Kuinadi ilani ya CCM, Huduma bora za Jamii, Usimamizi uchumi na Kulinda amani na usalama. Mhe. January ametangaza…...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JANUARY MAKAMBA ALIPOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akizungumza wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais leo katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mbunge wa jimbo la Bumbuli,Mjumbe wa NEC na Naibu Naziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba wakati akielezea vipaumbele vyake kwenye mkutano uliofanyika...

 

11 years ago

Dewji Blog

January Makamba atangaza kugombea Urais 2015.

january-makamba

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.

*Nape asema hakufanya makosa

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

Makamba, mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema, alijipigia debe kuwa iwapo atapitishwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Makamba atangaza kumnadi January urais 2015

Mbio za urais ndani ya CCM zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba kutangaza rasmi kumuunga mkono mtoto wake, January Makamba.

 

10 years ago

Vijimambo

BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM,VIJANA -MBEYA ,ATOA VIPAUMBELE VYAKE.

Bi. Chikulupi Njelu Kasaka Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Mbeya Bi. Chikulupi Njelu Kasaka (Kushoto) akikabidhiwa Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Mbeya na Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Bi. Aida Mamu Kushoto ni Bw. Moses Mwakibinga Katibu wa Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Chunya, Bi. Chikulupi Njelu Kasaka (Kushoto)  na Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mbeya Bi. Aida Mamu Baada ya kukabidhiwa Fomu

                  MFAHAMU BI. CHIKULUPI NJELU KASAKA

*Anaitwa...

 

11 years ago

Mwananchi

January: Nagombea urais 2015 kutekeleza vipaumbele vinne

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

 

5 years ago

CCM Blog

JANUARY MAKAMBA ATOA NENO

  Mbunge wa Bumbuli na aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba, amesema kuwa idadi kubwa ya Watanzania wanatambua mchango wake katika suala zima la kutokomeza matumizi ya mifuko ya plastiki, hata kama viongozi wengine wasipotambua.
Hayo ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter, wakati akimjibu mwananchi aliyehoji kauli ya Waziri wa sasa Azzan Zungu, aliyedai kuwa suala la mifuko hiyo lilisimamiwa na viongozi wa juu bila kumtaja...

 

11 years ago

Michuzi

DAMAS LYASSA ATANGAZA RASMI VIPAUMBELE KATIKA UCHAGUZI WA URAIS TUCTA

Bw. Dismas Lyassa (katikati)) Mgombea Urais wa TUCTA; Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi akiongea na wanahabari leo.Kupata alichokisema BOFYA HAPA

 

11 years ago

Mwananchi

January Makamba, Zitto waungana urais

>Uamuzi wa mwanasiasa kijana, January Makamba wa kutaka kuwania urais, umezidi kukoleza mijadala ya kisiasa katika mitandao ya kijamii na kuibua hoja zinazokinzana kuhusu ujana na uzoefu wa uongozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani