Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


January Makamba, Zitto waungana urais

>Uamuzi wa mwanasiasa kijana, January Makamba wa kutaka kuwania urais, umezidi kukoleza mijadala ya kisiasa katika mitandao ya kijamii na kuibua hoja zinazokinzana kuhusu ujana na uzoefu wa uongozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JANUARY MAKAMBA ALIPOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akizungumza wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais leo katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mbunge wa jimbo la Bumbuli,Mjumbe wa NEC na Naibu Naziri wa wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba wakati akielezea vipaumbele vyake kwenye mkutano uliofanyika...

 

11 years ago

Dewji Blog

January Makamba atangaza kugombea Urais 2015.

january-makamba

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba.

*Nape asema hakufanya makosa

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ametangaza nia yake ya kuwania urais akisema huu ni wakati wa kupisha fikra mpya kuongoza dola, licha ya chama hicho kuzuia kutangaza nia na kupiga kampeni kabla ya muda.

Makamba, mmoja wa makada wa CCM walioonywa na chama hicho baada ya kutuhumiwa kuanza kampeni mapema, alijipigia debe kuwa iwapo atapitishwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto, Mwigulu waungana urais 2015

mwigilu nchembaNa Mwandishi Wetu
WANASIASA wawili vijana ambao wamejijengea umaarufu wa kisiasa ndani ya makundi mbalimbali ya kijamii hapa nchini wameunganisha nguvu zao za kusaka ukuu wa dola katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Wanasiasa hao, Zitto Kabwe ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Iramba Magharibi na pia Naibu Waziri wa Fedha ambao jana walialikwa kushiriki mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na Televisheni ya Taifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

VITA YA URAIS 2015: Sumaye amvaa January Makamba

WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye, amewashukia wale wanaotumia kete ya umri kuwania urais na kwamba, hawafai kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo, inaonekana ni kujibu mapigo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzee Makamba atangaza kumnadi January urais 2015

Mbio za urais ndani ya CCM zimechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba kutangaza rasmi kumuunga mkono mtoto wake, January Makamba.

 

10 years ago

Michuzi

Bumbuli wampokea January Makamba kishujaa; Wambariki Urais.

 Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia, January Makamba akipokelewa na wazee mara baada ya kuwasili jimboni kwake. Mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Naibu Waziri Sayansi na Teknolojia, January Makamba akipokelewa na akina mama na kupewa baraka zake.Na Raisa Said, Bumbuli. 
Wakazi mbalimbali wa Jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, Mkoani Tanga wamesema kuwa wapo tayari kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo, January Makamba kama ataamua kuwania nafasi ya kuwa mgombea wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mh. January Makamba, Urais Sio Sawa na Kucheza Filamu

Wanajamvini,Nawasalimu.Nimelazimika kuanza na hiyo kauli hapo juu kutokana na unyeti wa habari yenyewe.Nitakuwa namwendelezo wa kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali yanayoikabili Tanzaniakwa kutumia mifano hai na kumbukumbu rasmi zilizopo Tanzania.“Ni bora Simba wakali mia moja walioko Nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani [“Godbless JonathanLema]. Haya maneno aliwahi kuyatoa Mbunge Lema, nayafananisha na kijitabualichokitoa Mh. January Makamba. Namheshimu sana [ Hata yeye anajua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani