Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto, Mwigulu waungana urais 2015

mwigilu nchembaNa Mwandishi Wetu
WANASIASA wawili vijana ambao wamejijengea umaarufu wa kisiasa ndani ya makundi mbalimbali ya kijamii hapa nchini wameunganisha nguvu zao za kusaka ukuu wa dola katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Wanasiasa hao, Zitto Kabwe ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Iramba Magharibi na pia Naibu Waziri wa Fedha ambao jana walialikwa kushiriki mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na Televisheni ya Taifa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Zitto, Mwigulu wang’ara urais 2015

Zitto-KabweNa Asifiwe George, Dar es Salaam
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema) ameng’ara katika mbio za urais mwaka 2015 akipata asilimia 18 tofauti na wagombea wengine wanaotajwa kugombea nafasi hiyo kupitia muungano wa vyama vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), utafiti umebaini.
Takwimu hizo zilitolewa na Asasi ya Utafiti wa Elimu Tanzania ( TEDRO) kwa lengo la kutathmini ushiriki wa vijana katika siasa kama wagombea na namna ambavyo vijana wanavyopokewa katika...

 

11 years ago

Mwananchi

January Makamba, Zitto waungana urais

>Uamuzi wa mwanasiasa kijana, January Makamba wa kutaka kuwania urais, umezidi kukoleza mijadala ya kisiasa katika mitandao ya kijamii na kuibua hoja zinazokinzana kuhusu ujana na uzoefu wa uongozi.

 

10 years ago

GPL

URAIS 2015: JANUARI VS MWIGULU NGOMA NZITO!

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba (41). HOMA ya Uchaguzi Mkuu 2015 inazidi kupanda. Wapo baadhi ya wagombea wa urais ambao tayari wameshatangaza nia hadharani lakini wengine wanaendeleza harakati zao chini kwa chini.
Miongoni mwa makada ambao tayari wameonesha nia ya kutaka kugombea ni pamoja na vijana, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (40) na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na...

 

11 years ago

KwanzaJamii

MWIGULU NCHEMBA: NIMEOMBWA NA WAZEE NIGEMBEE URAIS 2015

Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee na wasomi kuwania nafasi hiyo. Hata hivyo, Nchemba amesema kwa sasa hafikirii suala hilo kwani amebanwa na utekelezaji wa jukumu alilokabidhiwa na Rais. Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, aliyasema hayo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni...

 

10 years ago

Vijimambo

MKOA WA MARA WAMDHAMINI MWIGULU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015 NAFASI YA URAIS


Mwigulu Nchemba akishuhudia mmoja ya wadhamini wake wakijiorodhesha kwenye Fomu ya wadhamini.Mwigulu Nchemba akioneshwa orodha ya Wanachama wa CCM waliomdhamini mkoa wa Mara.Aliyeshika orodha ya Majina ni Katibu wa CCM wilaya ya Musoma Mjini.
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya WanaCCM waliomdhamini kwenye safari ya Kukamilisha taratibu za Chama ili aweze kuteuliwa Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwigulu Nchemba akionesha orodha ya wadhamini wake kwa Mkoa wa Mara.

 

10 years ago

Vijimambo

NCHINI TANZANIA,MWIGULU SASA AONGOZA SAFU YA KUKUBALIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA URAIS 2015,AWABWAGA VIJANA WENZAKE

Wasaka urais vijana: Utafiti wamng'arisha MwiguluNa Moshi Lusonzo ..
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.Harakati za Uchaguzi Mkuu zimeendelea kushika kasi, baada ya utafiti uliotolewa jana kumtaja Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuongoza kundi la wanasiasa vijana wanaokubalika na Watanzania katika kugombea nafasi ya urais.
Akizungumza jijini Dar es salaam jana
wakati akizindua ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (Tedro), Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA


Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani