Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA: NIMEOMBWA NA WAZEE NIGEMBEE URAIS 2015

Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee na wasomi kuwania nafasi hiyo. Hata hivyo, Nchemba amesema kwa sasa hafikirii suala hilo kwani amebanwa na utekelezaji wa jukumu alilokabidhiwa na Rais. Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, aliyasema hayo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA


Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.

 

10 years ago

GPL

MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Mwigulu Nchemba akitangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM jioni hii mkoani Dodoma. NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ametangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais jioni hii kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere uliopo kwenye Chuo cha Mipango mkoani Dodoma. Kauli mbiu ya Mwigulu ni ‘Mabadiliko ni Vitendo Wakati ni Sasa.’ Katika hotuba yake Mwigulu ameanza...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA KUCHUKUA FOMU YA URAIS NDANI YA MASAA 12 YAJAYO

Mh:Mwigulu Nchemba,KIjana aliyetangaza nia ya Kuwania URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku chache zilizopita,Huku HOTUBA yake ikiacha Gumzo nchi Nzima.Hapo kesho anategemea Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais Mwaka 2015.Tukio la KUCHUKUA FOMU litafanyika Mako Makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI,DODOMA kuanzia Majira ya saa 4:00 Asubuhi ya Tar.6.6.2015(Jumamosi).Tunakutakia kila raheli Mh:Mwigulu Nchemba katika Safari yako ya kuelekea Kuliongoza Taifa hili linalo-turn to Miaka 50 Ijayo. Kauli...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU LAMEK NCHEMBA NAYE ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, AKIWA MKOANI DODOMA

Naibu Waziri wa Fedha, na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Lameck Nchemba,akiwa na familia yake, wakati alipowasili, kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma, leo Jumapili Mei 31, 2015, muda mfupi kabla ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM. Mwiguklu anakuwa ni mwana CCM wa nne kutangaza n ia hiyo, akitanguliwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere, Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephene Wasira, na Waziri Mkuu wa zamani...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAKIGOMA WAKESHA WAKIMSUBIRI MWIGULU NCHEMBA ILIWAMDHAMINI KWENYE MBIO ZA URAIS NCHINI TANZANIA


Ndugu Mwigulu Nchemba mgombea Urais ndani ya CCM akionesha Orodha ya WanaCCM waliomdhamini mkoa wa Kigoma hii leo.Mwigulu Nchemba akisalimiana na WanaCCM walioamua kwa dhati kumdhamini iliaweze kupitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Baadhi ya Wadhamini wa Mwigulu Nchemba hapa Kigoma,Wadhamini hawa wametumiza Zaidi ya Masaa 7 kumsubiri Mwigulu Nchemba aliyekuwa akitokea Mkoa wa Kagera.Awali walitangaziwa kuwa Mwigulu atawasili saa 7...

 

10 years ago

GPL

MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA UNAIBU KATIBU MKUU CCM ILI KUWANIA URAIS

Mwigulu Nchemba. ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba amejiuzulu nafasi hiyo ili awanie nafasi ya kugombea urais na nafasi yake imechukuliwa na Rajab Luhavi aliyekuwa mshauri wa rais katika siasa. Mwigulu amabye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo jioni katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma. Akithibitisha taarifa hiyo, Katibu wa NEC,...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATUA DODOMA KUREJESHA FOMU YA URAIS,KAULI MBIU YAKE YAENDELEA KUWIKA

Mgombea Urais ndani ya CCM Mh:Mwigulu Nchemba akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu Luhavi  fomu zilizokamilika idadi ya wadhamini kama Utaratibu wa Chama ulivyoagiza mapema hii leo Mjini Dodoma.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi waliofika kumsindikiza wakati wa kurejesha fomu ya Urais CCM-DodomaBaada ya safari ya ndefu ya Kutafuta wadhamini Mikoani,Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mke wake Bi.Neema Mwigulu akiwasili Makao makuu ya CCM Mjini Dodoma kwaajili ya Kurejesha fomu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani