Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA UNAIBU KATIBU MKUU CCM ILI KUWANIA URAIS

Mwigulu Nchemba. ALIYEKUWA Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba amejiuzulu nafasi hiyo ili awanie nafasi ya kugombea urais na nafasi yake imechukuliwa na Rajab Luhavi aliyekuwa mshauri wa rais katika siasa. Mwigulu amabye pia ni Naibu Waziri wa Fedha, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo jioni katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mkoani Dodoma. Akithibitisha taarifa hiyo, Katibu wa NEC,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA UNAIBU KATIBU MKUU WA CCM


Mwigulu Nchemba amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Katibu Mkuu CCM ili kupisha agombee Urais na akishindwa atarudia nafasi ikimpendeza M/kit.Nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM iliyokuwa imashikiliwa na Mwigulu Nchemba imechukuliwa na ndugu Rajab Luwavi.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE

Habari za uhakika kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) amejiuzulu nafasi hiyo katika chama tawala. Kulia ni Ndg Rajabu Luhwavi. Habari zaidi tutawaletea kuhusu sababu ya kujiuzulu huko.

 

10 years ago

GPL

MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Mwigulu Nchemba akitangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM jioni hii mkoani Dodoma. NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ametangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais jioni hii kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere uliopo kwenye Chuo cha Mipango mkoani Dodoma. Kauli mbiu ya Mwigulu ni ‘Mabadiliko ni Vitendo Wakati ni Sasa.’ Katika hotuba yake Mwigulu ameanza...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU LAMEK NCHEMBA NAYE ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, AKIWA MKOANI DODOMA

Naibu Waziri wa Fedha, na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Lameck Nchemba,akiwa na familia yake, wakati alipowasili, kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma, leo Jumapili Mei 31, 2015, muda mfupi kabla ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM. Mwiguklu anakuwa ni mwana CCM wa nne kutangaza n ia hiyo, akitanguliwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere, Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephene Wasira, na Waziri Mkuu wa zamani...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA KUTANGAZA NIA JUMAPILI HII YA KUWANIA URAIS,TANZANIA ITASIMAMA KWA MASAA 3 PALE DODOMA

Ndugu,Watanzania,Napenda kuwajulisha kuwa Tar.31.05.2015 siku ya Jumapili,Nitazungumza na Watanzania kutoka Makao Makuu ya Nchi-Dodoma.Mazungumzo yangu nanyi yatajikita kuomba ridhaa ndani ya Chama ya Kugombea nafasi ya Urasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Tukiwa tunaianza safari ya Kuelekea Miaka 50 tena ya Taifa letu,Naomba usipitwe na Mazungumzo yangu yatakayokuwa LIVE kupitia Redio na Televison Mbalimbali hapa Nchini. Muda: Saa 9 Alasiri hadi 12 JioniMahali:Chuo Cha Mipango...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamtaka Katibu wa CCM kuacha kumbeba kwa mbeleko Mwigulu Nchemba

DAVD JAIRO

Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida David Jairo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya madai yao ya kugomea kuendelea na mchakato wa kura za maoni hadi msimamizi wa uchaguzi ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Iramba, Mathias Shidagisha aondolewe kwenye zoezi hilo, kushoto ni Amon Gyunda.

KILIMBA

Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida, Juma Killimbah, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ofisi za chama cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani