Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA


Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NCHINI TANZANIA,MWIGULU SASA AONGOZA SAFU YA KUKUBALIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA URAIS 2015,AWABWAGA VIJANA WENZAKE

Wasaka urais vijana: Utafiti wamng'arisha MwiguluNa Moshi Lusonzo ..
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.Harakati za Uchaguzi Mkuu zimeendelea kushika kasi, baada ya utafiti uliotolewa jana kumtaja Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuongoza kundi la wanasiasa vijana wanaokubalika na Watanzania katika kugombea nafasi ya urais.
Akizungumza jijini Dar es salaam jana
wakati akizindua ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (Tedro), Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA KUCHUKUA FOMU YA URAIS NDANI YA MASAA 12 YAJAYO

Mh:Mwigulu Nchemba,KIjana aliyetangaza nia ya Kuwania URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku chache zilizopita,Huku HOTUBA yake ikiacha Gumzo nchi Nzima.Hapo kesho anategemea Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais Mwaka 2015.Tukio la KUCHUKUA FOMU litafanyika Mako Makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI,DODOMA kuanzia Majira ya saa 4:00 Asubuhi ya Tar.6.6.2015(Jumamosi).Tunakutakia kila raheli Mh:Mwigulu Nchemba katika Safari yako ya kuelekea Kuliongoza Taifa hili linalo-turn to Miaka 50 Ijayo. Kauli...

 

10 years ago

KwanzaJamii

MWIGULU NCHEMBA: NIMEOMBWA NA WAZEE NIGEMBEE URAIS 2015

Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee na wasomi kuwania nafasi hiyo. Hata hivyo, Nchemba amesema kwa sasa hafikirii suala hilo kwani amebanwa na utekelezaji wa jukumu alilokabidhiwa na Rais. Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, aliyasema hayo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU HABARI NYINGINE HUKO IRAMBA MBIO ZA UBUNGE NDANI YA CCM,JAIRO NA WENZAKE WAJITOA,MWIGULU KUSHINDA KWA KISHINO

Mwigulu Nchemba akiondoka Viwanja vya Shelui mara baada ya Mkutano wa Kampeni Kumalizika.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wake Kata ya Shelui wakati wa Mkutano wa Kampeni ya kura ya Maoni za UBunge kuwania kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM Wilaya ya IrambaMwigulu Nchemba akilakiwa na Wananchi wake kijiji cha Tulya wilayani Iramba wakati wa kampeni za Kura ya Maoni ya kuwania Ubunge ndani ya CCM.
Mwigulu Nchemba akifurahia mwenendo wa kampeni za kura ya maoni na Wananchi wake.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama

Lowassa_Ilala

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).

Kingunge udhamini

Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

GPL

MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Mwigulu Nchemba akitangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM jioni hii mkoani Dodoma. NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ametangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais jioni hii kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere uliopo kwenye Chuo cha Mipango mkoani Dodoma. Kauli mbiu ya Mwigulu ni ‘Mabadiliko ni Vitendo Wakati ni Sasa.’ Katika hotuba yake Mwigulu ameanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani