Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NCHINI TANZANIA,MWIGULU SASA AONGOZA SAFU YA KUKUBALIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA URAIS 2015,AWABWAGA VIJANA WENZAKE

Wasaka urais vijana: Utafiti wamng'arisha MwiguluNa Moshi Lusonzo ..
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba.Harakati za Uchaguzi Mkuu zimeendelea kushika kasi, baada ya utafiti uliotolewa jana kumtaja Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuongoza kundi la wanasiasa vijana wanaokubalika na Watanzania katika kugombea nafasi ya urais.
Akizungumza jijini Dar es salaam jana
wakati akizindua ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (Tedro), Mwenyekiti wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKOA WA MARA WAMDHAMINI MWIGULU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015 NAFASI YA URAIS


Mwigulu Nchemba akishuhudia mmoja ya wadhamini wake wakijiorodhesha kwenye Fomu ya wadhamini.Mwigulu Nchemba akioneshwa orodha ya Wanachama wa CCM waliomdhamini mkoa wa Mara.Aliyeshika orodha ya Majina ni Katibu wa CCM wilaya ya Musoma Mjini.
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya WanaCCM waliomdhamini kwenye safari ya Kukamilisha taratibu za Chama ili aweze kuteuliwa Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mwigulu Nchemba akionesha orodha ya wadhamini wake kwa Mkoa wa Mara.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA


Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ATIKISA DODOMA,ACHUKUA FOMU YA URAIS,SASA SAFARI YA TANZANIA KUELEKEA KIPATO CHA KATI IMEANZA

Mh.Mwigulu akiwasili makao makuu ya CHAMA CHA MAPINDUZI mjini Dodoma kwaajili ya Kuchukua Fomu ya Kuwania Urais wa Tanzania mwaka 2015.Mh:Mwigulu akisaini kitabu cha Wagombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi.Mh:Mwigulu Nchemba na Mke wake Bi.Neema Mwigulu wakifurahia kukabidhiwa nyaraka mbalimbali za kufanikisha mchakato wa Kutafuta Wadhamini Nchi Nzima kuelekea hatua ya pili ya Mchujo wa Wagombea Urais ndani ya CCM.Mwigulu Nchemba akimtambulisha Mke wake Bi.Neema Ngure kwa Umma wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ACHOTA BARAKA KWA MAMA MARIA NYERERE KUELEKEA SAFARI YAKE YA URAIS NCHINI TANZANIA

Mwigulu Nchemba akiwa na Mama Maria Nyerere hii leo Kijijini Butiama,Nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere alipokwenda kusalimia .Mwigulu Nchemba akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwl.Nyerere,Nyerere anaendelea kukumbukwa kwa kuwa Muasisi wa Taifa letu na Kiongozi aliyeweka Misingi Imara ya Tanzania tuliyonayo sasa.
Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama Maria nyerere hii leo,Nyumbani Butiama.Wakati wa kuchota Baraka za Mama Maria nyerere akiwa...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia upatikanaji wa taarifa sahihi kuelekea uchaguzi mkuu

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumaza na vijana wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani iliyoadhimishwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bibi. Natalia Kanem. Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) Bibi. Natalia Kanem...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

9 years ago

Vijimambo

TAASISI YA TANZANIA BORA INITIATIVE YAFANYA KONGAMANO LA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,  Mark Childress akizungumza katika Kongamano hilo lililohusu Ndoto Kubwa ya vijana kabla ya uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi lililofanyika jana Hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam.Mwakilishi kutoka Taasisi ya Ekihya, Lillian Secelela akiongoza kongamano hilo.Mtaalamu wa masuala ya vijana, Humphrey Polepole, akizungumza katika kongamano hilo. Polepole alikuwa mmoja wa wageni kwenye kongamano hilo  na alichangia mada kadhaa sanjari na wenzane watatu,...

 

9 years ago

GPL

TAASISI YA TANZANIA BORA INITIATIVE YAFANYA KONGAMANO LA VIJANA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU‏

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Mark Childress akizungumza katika Kongamano hilo lililohusu Ndoto Kubwa ya vijana kabla ya uchaguzi mkuu na baada ya uchaguzi lililofanyika jana Hoteli ya New Afrika jijini Dar es Salaam. Mwakilishi kutoka Taasisi ya Ekihya, Lillian Secelela akiongoza kongamano hilo. Mtaalamu wa masuala ya vijana, Humphrey Polepole, akizungumza katika… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani