MKOA WA MARA WAMDHAMINI MWIGULU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015 NAFASI YA URAIS
Mwigulu Nchemba akishuhudia mmoja ya wadhamini wake wakijiorodhesha kwenye Fomu ya wadhamini.
Mwigulu Nchemba akioneshwa orodha ya Wanachama wa CCM waliomdhamini mkoa wa Mara.Aliyeshika orodha ya Majina ni Katibu wa CCM wilaya ya Musoma Mjini.
Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya WanaCCM waliomdhamini kwenye safari ya Kukamilisha taratibu za Chama ili aweze kuteuliwa Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwigulu Nchemba akionesha orodha ya wadhamini wake kwa Mkoa wa Mara.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Feb
NCHINI TANZANIA,MWIGULU SASA AONGOZA SAFU YA KUKUBALIKA KUELEKEA UCHAGUZI WA URAIS 2015,AWABWAGA VIJANA WENZAKE
![.](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC09272.jpg?resize=525%2C690)
![.](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC09248.jpg?resize=524%2C689)
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mwingulu-09Feb2015.jpg)
Akizungumza jijini Dar es salaam jana
wakati akizindua ripoti ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo ya Elimu (Tedro), Mwenyekiti wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSLmHX-0e60SGuzAxXBl03xjxMrOaAeBCCQ*Yv-P*tGPp4yLZ6ogRj24tcigZ-vjo2SUx*GXZOx5C0VJBninig8k/BREAKING.gif)
MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA UNAIBU KATIBU MKUU CCM ILI KUWANIA URAIS
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Tanzania 2020: Chadema imepata nafasi kurudi katika umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu?
10 years ago
Vijimambo06 Feb
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
![](http://api.ning.com/files/N9SP9Z4W-Dcb9tWU*4AOWpjws4dFshXDt9YyW9NexzPJOOboc5cw6t5BISPIp76mDXlGtSLua5u6zUipWM9DTxf9aD30Ae6N/MizengoPinda.jpg?width=650)
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini.Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa picha inayoonyesha kuimarika kwa upinzani nchini, kwani matokeo ya jumla...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/N9SP9Z4W-Dcb9tWU*4AOWpjws4dFshXDt9YyW9NexzPJOOboc5cw6t5BISPIp76mDXlGtSLua5u6zUipWM9DTxf9aD30Ae6N/MizengoPinda.jpg?width=650)
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-JSIXCtXGYFo/VfvHmQ-i4CI/AAAAAAAD7tE/34Gyn5DTZVw/s72-c/ILULA.jpg)
10 years ago
MichuziADC YAFANYA MKUTANO WA HADHARA KUWATAMBULISHA WAGOMBEA WA URAIS KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/u-8Cq3szLXM/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Kuelekea uchaguzi mkuu 2015, tuna mengi ya kujifunzaÂ
TUNAPOELEKEA uchaguzi mkuu wa 2015 na kazi kubwa iliyo mbele yetu ya kutengeneza Katiba mpya ya taifa letu, Watanzania tuna mambo mengi ya kujifunza. Jinsi tunavyowatafuta wataalamu wa uchumi, soko...