Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWS: WATAKAO CHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA CHAMA CHA CCM KESHO HAWA HAPA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MHE.JOHN MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUPITIA CCM 2015

Kura zilizopigwa zilikuwa ni kura 2422, na kura zilizoharibika ni kura 6. Kulingana na kura zilizoharibika basi kura halali ni jumla ya kura 2416. 

Dr. Asha Rose Migiro amepata jumla ya kura 59 sawa na na asilimia 2.4%

Balozi Amina Ali amepata jumla ya kura 253 sawa na asilimia 10.5%

Mhe. John Magufuli amepata jumla ya kura 2104 sawa na asilimia 87.1%

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Dr John Pombe Magufuli kukubali kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM 2015

Mhe Dk John Pombe Magufuli akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM 2015 huko Dodoma wakati akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kama mgombea wa uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015


 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (katikati) akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu. Kulia ni mkewe Waziri Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Magufuli achukua fomu ya kuomba Kuteuliwa Kugombea Urais kupitia CCM

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akionyesha kabrasha lenye Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM mara baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu mkoani Dodoma leo. Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu kabla ya...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.

Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo Juni 4, 2015 kwa ajili ya kuchukua fomu hizo. Kushoto ni Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, baada ya kukabidhiwa mkoba huo na...

 

10 years ago

Michuzi

LUTALOSA YEMBA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA ADC

 Wanachama wa chama cha ADC wakishangilia mara baada ya kumtangaza mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar katika mkutano wa kamati kuu uliofanyika leo katika Hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.Wanachama wa chama cha ADC wakipata urudani kutioka kwa kijana wao wa burudani katika mkutano mkuu wa chama hicho wa kumtangaza mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,mgombea urais wa Zanzibar na mgombea mweza katika nafasi hiyo, katika mkutano uliofanyika Hoteli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani