MWIGULU HABARI NYINGINE HUKO IRAMBA MBIO ZA UBUNGE NDANI YA CCM,JAIRO NA WENZAKE WAJITOA,MWIGULU KUSHINDA KWA KISHINO
Mwigulu Nchemba akiondoka Viwanja vya Shelui mara baada ya Mkutano wa Kampeni Kumalizika.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wake Kata ya Shelui wakati wa Mkutano wa Kampeni ya kura ya Maoni za UBunge kuwania kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM Wilaya ya IrambaMwigulu Nchemba akilakiwa na Wananchi wake kijiji cha Tulya wilayani Iramba wakati wa kampeni za Kura ya Maoni ya kuwania Ubunge ndani ya CCM.
Mwigulu Nchemba akifurahia mwenendo wa kampeni za kura ya maoni na Wananchi wake.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMwigulu Nchemba Ashinda kwa 99% kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba
Masimba Mwigulu 88Jairo 1Kilimba 0Amon 0
MlandalaMwigulu 50Jairo 0Kilimba 3Amon0
Mang'ole Mwigulu 173Jairo 6Kilimba 0Amon 0
MSAIMwigulu 294Jairo 35Kilimba 59
MALUGAMwigulu 322Kilimba 5Jailo 0
UWANZAMwigulu 172Jairo 8Kirimba 23Amon 2
Nganguri
Mwigulu 727kilimba 2jairo 2Amon 0Mwigulu kashinda
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Mwigulu achukua fomu ya Ubunge na kutoa vitisho kwa wagombea wa nafasi hiyo Iramba
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwa katika usafiri wa bodaboda akiingia kwenye ofisi ya CCM Wilaya ya Iramba ikiwa ni moja ya staili ya kuwaomba kura wapiga kura wa jimbo la Iramba.
Mwigulu Nchemba akiwasili Ofisi za chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iramba,Mamia ya Wananchi walijumuika naye kumsindikiza ili awezekuchukua Fomu hiyo na hatimaye kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa Mgombea Ubunge Wilaya ya Iramba.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM akisaini kitabu cha mahudhurio baada...
10 years ago
Michuzi15 Jul
MWIGULU NCHEMBA AREJEA IRAMBA,ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE
Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya...
9 years ago
Vijimambo18 Aug
MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA SERIKALI YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Kijana Kevin ACT- Wazalendo amvaa Mwigulu Nchemba Ubunge Iramba Magharibi
Kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga.
Na Hillary Shoo, Iramba
Harakati za kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimezidi kushika kasi ambapo sasa imebaki Miezi miwili tu huku makada mbalimbali wakichuana kuteuliwa na vyama vyao.
Safari hii tofauti na chaguzi zilizopita wimbi la Vijana wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.
Ni kutokana na hilo kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga (30) amejitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi...
10 years ago
Vijimambo15 Jul
MWIGULU NCHEMBA ATUA IRAMBA JIMBONI KWAKE,WANANCHI WAFURIKA KUMSINDIKIZA AKACHUKUE FOMU YA UBUNGE
10 years ago
Vijimambo08 Feb
BREAKING NEWS,TEDRO WATOA REPOTI YA VIJANA WANAOTEGEMEWA KUSHINDA URAIS 2015,MWIGULU NCHEMBA AONGOZA NDANI NA NJE YA CHAMA
Hii ni sehemu ya ripoti hiyo iliyosomwa hii leo kwa waandishi wa habari Jijini Dsm,Ripoti kamili Kukujia hivi Punde.
10 years ago
Mwananchi24 Apr
10 years ago
Vijimambo