Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA ATUA IRAMBA JIMBONI KWAKE,WANANCHI WAFURIKA KUMSINDIKIZA AKACHUKUE FOMU YA UBUNGE

Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao  Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AREJEA IRAMBA,ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE

Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.
Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao  Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA SERIKALI YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa Fomu za Serikali za kuwania Ubunge jimbo la Iramba kupitia CCM.Fomu zimetolea hii leo Ofisi ya Mkurugenzi wilaya ya Iramba.Mwigulu Nchemba akizaja Stakabadhi ya Malipo iliaweze kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Iramba.Mwigulu NChemba akiwa na Wagombea Udiwani kwa tiketi ya CCM,Jimbo la Iramba.

 

10 years ago

Michuzi

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99% kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99 % kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba
 Masimba          Mwigulu 88Jairo 1Kilimba 0Amon 0
MlandalaMwigulu 50Jairo 0Kilimba 3Amon0
Mang'ole Mwigulu 173Jairo 6Kilimba 0Amon 0
MSAIMwigulu 294Jairo 35Kilimba 59
MALUGAMwigulu 322Kilimba 5Jailo 0
 UWANZAMwigulu 172Jairo 8Kirimba 23Amon 2
 Nganguri
Mwigulu 727kilimba 2jairo 2Amon 0Mwigulu kashinda

 

10 years ago

Dewji Blog

Kijana Kevin ACT- Wazalendo amvaa Mwigulu Nchemba Ubunge Iramba Magharibi

kevin

Kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga.

Na Hillary Shoo, Iramba

Harakati za kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimezidi kushika kasi ambapo sasa imebaki Miezi miwili tu huku makada mbalimbali wakichuana kuteuliwa na vyama vyao.

Safari hii tofauti na chaguzi zilizopita wimbi la Vijana wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.

Ni kutokana na hilo kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga  (30) amejitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwigulu achukua fomu ya Ubunge na kutoa vitisho kwa wagombea wa nafasi hiyo Iramba

SAM_0116

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwa katika usafiri wa bodaboda akiingia kwenye ofisi ya CCM Wilaya ya Iramba ikiwa ni moja ya staili ya kuwaomba kura wapiga kura wa jimbo la Iramba.

11698700_1881892685370090_7978881058570572577_n

Mwigulu Nchemba akiwasili Ofisi za chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iramba,Mamia ya Wananchi walijumuika naye kumsindikiza ili awezekuchukua Fomu hiyo na hatimaye kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi kuwa Mgombea Ubunge Wilaya ya Iramba.

SAM_0120

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM akisaini kitabu cha mahudhurio baada...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA AZUNGUKA WILAYA ZOTE ZA TANGA KWA SIKU MOJA,WANANCHI WAFURIKA MIKUTANONI

Hisia za Wananchi wa Korogwe zikiwa zimeandikwa kwenye Bango hili kama linavyosomeka,Hii imetokea Korogwe Mjini wakati Naibu katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba alipofanya ziara ya kutembelea wilaya zote za Mkoa wa Tanga hii leo.Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na wananchi wa wilaya ya Pangani wakati wa ziara yake aliyoifanya kwa siku moja(17.01.2014) kwa wilaya zote za Mkoa wa Tanga.Naibu katibu Mkuu akiwasili Viwanja vya Tangamano-Tanga...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATUA DODOMA KUREJESHA FOMU YA URAIS,KAULI MBIU YAKE YAENDELEA KUWIKA

Mgombea Urais ndani ya CCM Mh:Mwigulu Nchemba akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu Luhavi  fomu zilizokamilika idadi ya wadhamini kama Utaratibu wa Chama ulivyoagiza mapema hii leo Mjini Dodoma.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi waliofika kumsindikiza wakati wa kurejesha fomu ya Urais CCM-DodomaBaada ya safari ya ndefu ya Kutafuta wadhamini Mikoani,Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mke wake Bi.Neema Mwigulu akiwasili Makao makuu ya CCM Mjini Dodoma kwaajili ya Kurejesha fomu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani