TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATUA DODOMA KUREJESHA FOMU YA URAIS,KAULI MBIU YAKE YAENDELEA KUWIKA
Mgombea Urais ndani ya CCM Mh:Mwigulu Nchemba akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu Luhavi fomu zilizokamilika idadi ya wadhamini kama Utaratibu wa Chama ulivyoagiza mapema hii leo Mjini Dodoma.
Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi waliofika kumsindikiza wakati wa kurejesha fomu ya Urais CCM-Dodoma
Baada ya safari ya ndefu ya Kutafuta wadhamini Mikoani,Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mke wake Bi.Neema Mwigulu akiwasili Makao makuu ya CCM Mjini Dodoma kwaajili ya Kurejesha fomu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo06 Jun
MWIGULU NCHEMBA ATIKISA DODOMA,ACHUKUA FOMU YA URAIS,SASA SAFARI YA TANZANIA KUELEKEA KIPATO CHA KATI IMEANZA









10 years ago
Vijimambo15 Jul
MWIGULU NCHEMBA ATUA IRAMBA JIMBONI KWAKE,WANANCHI WAFURIKA KUMSINDIKIZA AKACHUKUE FOMU YA UBUNGE





10 years ago
Vijimambo05 Jun
MWIGULU NCHEMBA KUCHUKUA FOMU YA URAIS NDANI YA MASAA 12 YAJAYO

10 years ago
Vijimambo30 Sep
MWIGULU NCHEMBA ATUA KWA MBOWE NA MBATIA,SAME NA MWANGA...CCM YAENDELEA KUSAKA KURA KATA KWA KATA



10 years ago
Vijimambo
MWIGULU LAMEK NCHEMBA NAYE ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, AKIWA MKOANI DODOMA

10 years ago
Vijimambo29 May
MWIGULU NCHEMBA KUTANGAZA NIA JUMAPILI HII YA KUWANIA URAIS,TANZANIA ITASIMAMA KWA MASAA 3 PALE DODOMA

10 years ago
Vijimambo15 Jun
MWIGULU NCHEMBA ACHOTA BARAKA KWA MAMA MARIA NYERERE KUELEKEA SAFARI YAKE YA URAIS NCHINI TANZANIA





10 years ago
Vijimambo01 Oct
MWIGULU NCHEMBA ATUA KWA WAMASAI SIMANJIRO,OPERATION YAKE YA KATA KWA KATA NI USHINDI WA KIMBUNGA KWA CCM



10 years ago
Vijimambo11 Oct
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MKOA WA SIMIYU NA MAJIMBO YAKE(KATA KWA KATA) MWIGULU NCHEMBA AKIOMBA KURA ZA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI








