Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA AZUNGUKA WILAYA ZOTE ZA TANGA KWA SIKU MOJA,WANANCHI WAFURIKA MIKUTANONI

Hisia za Wananchi wa Korogwe zikiwa zimeandikwa kwenye Bango hili kama linavyosomeka,Hii imetokea Korogwe Mjini wakati Naibu katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba alipofanya ziara ya kutembelea wilaya zote za Mkoa wa Tanga hii leo.Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na wananchi wa wilaya ya Pangani wakati wa ziara yake aliyoifanya kwa siku moja(17.01.2014) kwa wilaya zote za Mkoa wa Tanga.Naibu katibu Mkuu akiwasili Viwanja vya Tangamano-Tanga...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATIKISA MKOA WA MOROGORO WOTE KWA SIKU MOJA

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Gairo hii leo,Amesisitiza kuwatatulia swala la maji ambalo bajeti yake imeshaanza kufanyiwa kazi.Naibu katibu Mkuu akizungumza na wananchi wa Mvomero hii leo,Tatizo la Sukari ndio AGENDA kuu hapa Mvomero,Wananchi wanasumbuliwa na tatizo la soko la sukari na Migogoro ya Mashamba.Mwigulu Nchemba ameahidi kuchukua hatua kuhakikisha tatizo linapata dawa ya Kudumu.Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mbunge wa Kilosa MH:MKulo hii leo mara baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ATUA IRAMBA JIMBONI KWAKE,WANANCHI WAFURIKA KUMSINDIKIZA AKACHUKUE FOMU YA UBUNGE

Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao  Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA NI HALF-MAN HALF-MACHINE,AITEKA MBEYA KWA SIKU MOJA

Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Mji wa Tunduma mapema asubuhi ya leo alipokwenda kuomba kura za Rais,Ubunge na Madiwani wa Chama cha Mapinduzi."Watanzania wenzangu mnaoishi hapa Tunduma,Hakuna chama cha siasa chenye thamani kuliko UHAI wa Mwanadamu,Nawaombeni sana muache tabia za kupigana na kuuana kwasababu ya vyama vya siasa.Nyie wananchi mnagombana kwa sababu ya siasa,Hivi ni lini mmeona sisi viongozi wa vyama vya siasa tunapigana??"Mwigulu NchembaWananchi wa Tunduma...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ANAISHI HIVI NA WANANCHI WAKE KAMA KUMBI KUMBI

Comrade Mwigulu Nchemba akiwa amembeba Mtoto katika kijiji cha kaselya wakati alipotembelea kukagua Usambazaji wa Nguzo za Umeme na Waya Jimboni Iramba. Mh,Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama huyu Mlemavu wa Ngozi ambaye Mwigulu amekuwa akimsaidia katika Maisha yake,Hapa Mama huyu amebarikiwa kupata mtoto hivyo anamuonesha Mbunge wake hapa Iramba,Comrade Mwigulu Nchemba akimsikiliza Mwananchi wake mwenye Ulemavu katika kijiji cha Ndulungu Jimboni Iramba.Mh.Mwigulu Nchemba akipokea...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU

EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.

Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...

 

9 years ago

Vijimambo

MOTO WA MWIGULU NCHEMBA WATUA MKOA WA MARA,APIGA MAJIMBO 5 KWA SIKU.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimnadi Mgombea wa Jimbo la Bunda Vijini.Mwigulu akizungumza na wanaserengeti amewaomba"Naomba mmchague Magufuli kwasababu tunazo sababu nyingi za kuhakikisha anakuwa Rais wa Tanzania,Magufuli yeye rafiki yake ni Kazi tu,Hivyo wananchi wamchague Mgombea Urais mwenye kusimamia kazi na shughuli za Maendeleo.Wanaserengeti wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi-Serengeti.
Hisia za Maandishi kwa Magufuli.Mwigulu Nchemba akisalimiana na
Wananchi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HISIA ZA WANANCHI WA BABATI MJINI KWA COMRADE MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI HII LEO KUONGEA NAO

Mh:mwigulu Nchemba
akipokelewa Babati Mjini.Wananchi wakisalimiana na Comrade mwigulu Nchemba Mapokezi yanaendelea Babati mjiniHisia za Wananchi wa Babati Mjini kwa Mwigulu Nchemba.

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIVYOWALIZA ACT WILAYA YA BUSEGA HII LEO


Naibu katibu Mkuu akisalimiana na watoto waliofika Kumpokea Kijiji cha Nyamikoma-Busega.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha nyamikoma-Busega hii leo.Mwenyekiti wa Mkoa wa SIMIYU wa CCM akiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT wilaya ya Busega.Mwigulu Nchemba akipokea kadi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT Wilaya ya Busega ambaye ameamua kuhamia CCM kwa hiari yake.Wakati huu tunapoelekea kuwa Nchi ya Kipato cha kati "Kupanga ni Kuchagua,tuanze sasa kuchagua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani