HISIA ZA WANANCHI WA BABATI MJINI KWA COMRADE MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI HII LEO KUONGEA NAO
Mh:mwigulu Nchemba
akipokelewa Babati Mjini.Wananchi wakisalimiana na Comrade mwigulu Nchemba Mapokezi yanaendelea Babati mjiniHisia za Wananchi wa Babati Mjini kwa Mwigulu Nchemba.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 Dec
MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI HAIDOM HII LEO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA
Naibu katibu Mkuu alipowasili Haidom hii leo kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za MitaaMwigulu Nchemba akihutubia wananchi wa HAIDOM mkoani Manyara hi leo.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza Wananchi kuwa Uchaguzi wa serikali za Mitaa sio Mashindano ya Vyama.NI uchaguzi wa kuchukua hatua za Mbadiriko kwa Vitendo kwa kuwaondoa wale wasio faa na kusimamisha wagombe wenye tija kwa Wananchi wa Tanzania.Na wagombe hao ni wale wanaotokana na chama cha Mapinduzi.Mamia ya Wananchi wakisikiliza...
9 years ago
Vijimambo28 Sep
COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015
Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...
10 years ago
Vijimambo13 Dec
PICHA,MWIGULU ALIPOWASILI HII LEO UKEREWE MAPEMA ASUBUHI
Mwigulu Nchemba akiwasili Ukerewe hii
leo mapema asubuhi.Comrade Mwigulu Nchemba akiwaombea kura wogembea wote wa CCM-Ukerewe,Kubwa ni kwamba CCM ndio chama chenye Ilani inayotekelezwa hadi sasa,Na Ilani hiyo kwa asilimia kubwa imetekelezwa Nchi nzima,Hivyo wananchi waendelee kukiunga mkono.Mwigulu Nchemba akiagana na Wakazi wa Ukerewe mapema hii leo asubuhi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Kufunga kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa.Mmoja wa Viongozi wa Kidini...
10 years ago
Michuzi06 Dec
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AUTEKA MJI WA GEITA
Muonekano wa Umati wa Wananchi waliotulia wakisikiliza hoja za Msingi kutoka kwa Mwigulu Nchemba.Comrade Mwigulu Nchemba akisisitiza Jambo kwa Wananchi wa Geita Mjini kuhusu Uchaguzi wa serikali za Mitaa.Picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Vijimambo12 Dec
TASWIRA,WAKAZI WA MEATU WALIVYOTOA HISIA ZAO KWA MWIGULU HII LEO ASUBUHI
Comrade Mwigulu Nchemba akiwaisili Meatu Mjini mapema hii leo asubuhi kuzungumza na Wananchi.Hisia za Wananchi wa Meatu Mjini kwa Mwigulu NchembaKueleka Uchaguzi wa serikali za Mitaa Meatu wanasema hivi.....!!!Naibu katibu Mkuu CCM Bara akivalishwa vazi la Kisukuma hii leo kama ishara ya Uongozi uliotukuka na Heshima kwa wazee wa Kisukuma.Wazee wamesisitiza aendelee kupambana kwa maslahi ya Watanzania wanyonge na Masikini.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza wananchi wa Meatu kuacha tabia ya...
10 years ago
Vijimambo24 Nov
9 years ago
Vijimambo07 Sep
MWIGULU NCHEMBA ASABABISHA MAFURIKO IRINGA MJINI,WANANCHI WAAHIDI KUMCHAGUA MWAKALEBELA KWA USTAWI WA IRINGA
hhhhhaMwigulu Nchemba na Mwakalebela wakiwa kwenye Gari ya wazi wakielekea Uwanja wa Mwembetogwa hapa Iringa Mjini tayari kwa uzinduzi wa kampeni za Ubunge.Mwigulu Nchemba akiingia na Gari la wazi kwenye Viwanja vya Mwembetogwa hapa Iringa Mjini kwaajili ya Kumnadi Mwakalebela anayepeperusha Bendera ya Chama Cha Mapinduzi kwenye nafasi ya Ubunge.Mwigulu Nchemba ambaye yumo kwenye kikosi cha Timu ya Ushindi ya CCM,hapa akiwasili Viwanja vya Mwembetogwa kwaajili ya kuzindua Rasmi kampeni za...
10 years ago
Vijimambo12 Dec
MWIGULU NCHEMBA ALIVYOWALIZA ACT WILAYA YA BUSEGA HII LEO
Naibu katibu Mkuu akisalimiana na watoto waliofika Kumpokea Kijiji cha Nyamikoma-Busega.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha nyamikoma-Busega hii leo.Mwenyekiti wa Mkoa wa SIMIYU wa CCM akiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT wilaya ya Busega.Mwigulu Nchemba akipokea kadi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT Wilaya ya Busega ambaye ameamua kuhamia CCM kwa hiari yake.Wakati huu tunapoelekea kuwa Nchi ya Kipato cha kati "Kupanga ni Kuchagua,tuanze sasa kuchagua...
9 years ago
VijimamboCOMRADE MWIGULU NCHEMBA ATUA BUKOMBE,SASA JIMBO LA BUKOMBE MIKONONI MWA CCM
Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Msukuma "KING" Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM,Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.J.P.Magufuli kwasababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania