Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA,MWIGULU ALIPOWASILI HII LEO UKEREWE MAPEMA ASUBUHI


Mwigulu Nchemba akiwasili Ukerewe hii
leo mapema asubuhi.Comrade Mwigulu Nchemba akiwaombea kura wogembea wote wa CCM-Ukerewe,Kubwa ni kwamba CCM ndio chama chenye Ilani inayotekelezwa hadi sasa,Na Ilani hiyo kwa asilimia kubwa imetekelezwa Nchi nzima,Hivyo wananchi waendelee kukiunga mkono.Mwigulu Nchemba akiagana na Wakazi wa Ukerewe mapema hii leo asubuhi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Kufunga kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa.Mmoja wa Viongozi wa Kidini...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI HAIDOM HII LEO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA


Naibu katibu Mkuu alipowasili Haidom hii leo kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za MitaaMwigulu Nchemba akihutubia wananchi wa HAIDOM mkoani Manyara hi leo.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza Wananchi kuwa Uchaguzi wa serikali za Mitaa sio Mashindano ya Vyama.NI uchaguzi wa kuchukua hatua za Mbadiriko kwa Vitendo kwa kuwaondoa wale wasio faa na kusimamisha wagombe wenye tija kwa Wananchi wa Tanzania.Na wagombe hao ni wale wanaotokana na chama cha Mapinduzi.Mamia ya Wananchi wakisikiliza...

 

10 years ago

Vijimambo

HISIA ZA WANANCHI WA BABATI MJINI KWA COMRADE MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI HII LEO KUONGEA NAO

Mh:mwigulu Nchemba
akipokelewa Babati Mjini.Wananchi wakisalimiana na Comrade mwigulu Nchemba Mapokezi yanaendelea Babati mjiniHisia za Wananchi wa Babati Mjini kwa Mwigulu Nchemba.

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,WAKAZI WA MEATU WALIVYOTOA HISIA ZAO KWA MWIGULU HII LEO ASUBUHI


Comrade Mwigulu Nchemba akiwaisili Meatu Mjini mapema hii leo asubuhi kuzungumza na Wananchi.Hisia za Wananchi wa Meatu Mjini kwa Mwigulu NchembaKueleka Uchaguzi wa serikali za Mitaa Meatu wanasema hivi.....!!!Naibu katibu Mkuu CCM Bara akivalishwa vazi la Kisukuma hii leo kama ishara ya Uongozi uliotukuka na Heshima kwa wazee wa Kisukuma.Wazee wamesisitiza aendelee kupambana kwa maslahi ya Watanzania wanyonge na Masikini.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza wananchi wa Meatu kuacha tabia ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mapema asubuhi ya leo Dkt. Kingwangalla atumbua majipu ya watumishi wachelewaji wa Wizara ya Afya

IMG_9118

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiwaamrisha askari wa getini wizarani hapo kuweka kufuli na kutoruhusu mtumishi yoyote wa ofisi hiyo kuingia ndani ya ofisi za wizara ilipotimu saa 1:32 asubuhi mapema leo.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_9122

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akisimamia zoezi la ufungwaji wa geti hilo, Kulia ni askari wa SUMA JKT akiweka kufuli...

 

9 years ago

Michuzi

MAPEMA ASUBUHI YA LEO DKT. KINGWANGALLA ATUMBUA MAJIPU YA WATUMISHI WACHELEWAJI WA WIZARA YA AFYA

IMG_9172Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akipitia mahudhurio ya watumishi wa wizara kwa siku zilizopita.IMG_9181Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akipitisha mstari wa kufunga mahudhurio kwa watumishi ambao wameripiti kabla ya saa 1:30 asubuhi ya leo.IMG_9198Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kingwangalla akiendelea na zoezi hilo la kupitisha mstari...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha: Jionee Mafuriko, Diamond Akiwa Soko la Karume Mapema Leo

Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platimumz mapema leo alikuwa viwanja vya soko la karume jiji Dar  akitambulisha show yake ya Darlive siku ya tarehe 25,ambapo pia aliimba kidogo na kugawa CD za wimbo wake mpya wa UTANIPENDA.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.

diamond231

Diamond Akiwa Karume

DIAMOND23412

Diamond Akiwa Karume

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA WAZIRI MKUU MSTAAFU ALIPOTANGAZA KUHAMA KUJIUNGA UKAWA MAPEMA LEO

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Sumaye akisisitiza jambo

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIVYOWALIZA ACT WILAYA YA BUSEGA HII LEO


Naibu katibu Mkuu akisalimiana na watoto waliofika Kumpokea Kijiji cha Nyamikoma-Busega.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha nyamikoma-Busega hii leo.Mwenyekiti wa Mkoa wa SIMIYU wa CCM akiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT wilaya ya Busega.Mwigulu Nchemba akipokea kadi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT Wilaya ya Busega ambaye ameamua kuhamia CCM kwa hiari yake.Wakati huu tunapoelekea kuwa Nchi ya Kipato cha kati "Kupanga ni Kuchagua,tuanze sasa kuchagua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani