Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwigulu Lameck Nchemba Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi

Historia yake

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kijana Kevin ACT- Wazalendo amvaa Mwigulu Nchemba Ubunge Iramba Magharibi

kevin

Kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga.

Na Hillary Shoo, Iramba

Harakati za kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimezidi kushika kasi ambapo sasa imebaki Miezi miwili tu huku makada mbalimbali wakichuana kuteuliwa na vyama vyao.

Safari hii tofauti na chaguzi zilizopita wimbi la Vijana wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.

Ni kutokana na hilo kada wa chama cha ACT -Wazalendo Kevin Joseph Msunga  (30) amejitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi...

 

10 years ago

Michuzi

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99% kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba

Mwigulu Nchemba Ashinda kwa 99 % kura za maoni Ubunge jimbo la Iramba
 Masimba          Mwigulu 88Jairo 1Kilimba 0Amon 0
MlandalaMwigulu 50Jairo 0Kilimba 3Amon0
Mang'ole Mwigulu 173Jairo 6Kilimba 0Amon 0
MSAIMwigulu 294Jairo 35Kilimba 59
MALUGAMwigulu 322Kilimba 5Jailo 0
 UWANZAMwigulu 172Jairo 8Kirimba 23Amon 2
 Nganguri
Mwigulu 727kilimba 2jairo 2Amon 0Mwigulu kashinda

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA SERIKALI YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa Fomu za Serikali za kuwania Ubunge jimbo la Iramba kupitia CCM.Fomu zimetolea hii leo Ofisi ya Mkurugenzi wilaya ya Iramba.Mwigulu Nchemba akizaja Stakabadhi ya Malipo iliaweze kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Iramba.Mwigulu NChemba akiwa na Wagombea Udiwani kwa tiketi ya CCM,Jimbo la Iramba.

 

10 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AREJEA IRAMBA,ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UBUNGE

Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.
Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao  Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ATUA IRAMBA JIMBONI KWAKE,WANANCHI WAFURIKA KUMSINDIKIZA AKACHUKUE FOMU YA UBUNGE

Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao  Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA KUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Mei 03, 2020.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mbunge wa Iramba Magharibi) akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , ,...

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AMNADI MGOMBEA WA CCM JIMBO LA KALENGA,MKOANI IRINGA LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Gedfrey Mgimwa, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini. (Picha na Bashir Nkoromo).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani