Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto, Mwigulu wang’ara urais 2015

Zitto-KabweNa Asifiwe George, Dar es Salaam
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema) ameng’ara katika mbio za urais mwaka 2015 akipata asilimia 18 tofauti na wagombea wengine wanaotajwa kugombea nafasi hiyo kupitia muungano wa vyama vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), utafiti umebaini.
Takwimu hizo zilitolewa na Asasi ya Utafiti wa Elimu Tanzania ( TEDRO) kwa lengo la kutathmini ushiriki wa vijana katika siasa kama wagombea na namna ambavyo vijana wanavyopokewa katika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Zitto, Mwigulu waungana urais 2015

mwigilu nchembaNa Mwandishi Wetu
WANASIASA wawili vijana ambao wamejijengea umaarufu wa kisiasa ndani ya makundi mbalimbali ya kijamii hapa nchini wameunganisha nguvu zao za kusaka ukuu wa dola katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Wanasiasa hao, Zitto Kabwe ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Mwigulu Nchemba, Mbunge wa Iramba Magharibi na pia Naibu Waziri wa Fedha ambao jana walialikwa kushiriki mahojiano katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na Televisheni ya Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

Kinamama wang'ara Sekta ya Uchukuz bungenii. Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 yapitishwa

 Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akijibu hoja za Wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.  Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa   na Marubani  wanawake waliotembelea Bunge  kufuatilia  Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
 Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa na madereva wa Treni wanawake waliotembelea Bunge  kufuatilia  Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa...

 

10 years ago

GPL

URAIS 2015: JANUARI VS MWIGULU NGOMA NZITO!

Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, January Makamba (41). HOMA ya Uchaguzi Mkuu 2015 inazidi kupanda. Wapo baadhi ya wagombea wa urais ambao tayari wameshatangaza nia hadharani lakini wengine wanaendeleza harakati zao chini kwa chini.
Miongoni mwa makada ambao tayari wameonesha nia ya kutaka kugombea ni pamoja na vijana, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (40) na Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na...

 

10 years ago

KwanzaJamii

MWIGULU NCHEMBA: NIMEOMBWA NA WAZEE NIGEMBEE URAIS 2015

Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee na wasomi kuwania nafasi hiyo. Hata hivyo, Nchemba amesema kwa sasa hafikirii suala hilo kwani amebanwa na utekelezaji wa jukumu alilokabidhiwa na Rais. Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, aliyasema hayo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja, Tegete wang’ara

‘Wametoa gundu’. Hicho ndicho unachoweza kusema kwa Jerryson Tegete na Genilson Santos ‘ Jaja’ walipofungia Yanga kwa mara ya kwanza, wakati Simba wameendeleza rekodi ya sare jijini Mbeya na Azam wakiambulia kipigo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

14 wang’ara Siku ya Gofu

WACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu jijini Dar es Salaam ambao walishiriki mashindano yaliyojulikana kama ‘Siku ya Gofu’, mwishoni mwa wiki waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri...

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama wang'ara Shimiwi

Timu ya Mahakama ya Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Shirikisho ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi) inayoendelea mkoani Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri.
Timu ya Mahakama ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa, Abdallah “King Mputa” Kibadeni jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Ras Tanga na kuingia hatua ya robo fainali.
Wakati timu ya soka ikiingia katika hatua hiyo muhimu, timu ya mchezo, kamba (wanawake na...

 

10 years ago

Habarileo

Olimpiki Maalumu wang’ara

KATIKA kudhihirisha kuwa wanaweza, timu ya Tanzania inayoshiriki Olimpiki Maalumu imeendelea kuvuna medali kwenye mashindano ya dunia yanayofanyika Los Angles, Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani