Kinamama wang'ara Sekta ya Uchukuz bungenii. Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 yapitishwa
.jpg)
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akijibu hoja za Wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa na Marubani wanawake waliotembelea Bunge kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa Mwaka 2014/2015 leo.
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe na Mhe Anna Abdallah wakiwa na madereva wa Treni wanawake waliotembelea Bunge kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa...
Michuzi