Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


14 wang’ara Siku ya Gofu

WACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu jijini Dar es Salaam ambao walishiriki mashindano yaliyojulikana kama ‘Siku ya Gofu’, mwishoni mwa wiki waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mahakama wang'ara Shimiwi

Timu ya Mahakama ya Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Shirikisho ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi) inayoendelea mkoani Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri.
Timu ya Mahakama ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa, Abdallah “King Mputa” Kibadeni jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Ras Tanga na kuingia hatua ya robo fainali.
Wakati timu ya soka ikiingia katika hatua hiyo muhimu, timu ya mchezo, kamba (wanawake na...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja, Tegete wang’ara

‘Wametoa gundu’. Hicho ndicho unachoweza kusema kwa Jerryson Tegete na Genilson Santos ‘ Jaja’ walipofungia Yanga kwa mara ya kwanza, wakati Simba wameendeleza rekodi ya sare jijini Mbeya na Azam wakiambulia kipigo.

 

10 years ago

Habarileo

Olimpiki Maalumu wang’ara

KATIKA kudhihirisha kuwa wanaweza, timu ya Tanzania inayoshiriki Olimpiki Maalumu imeendelea kuvuna medali kwenye mashindano ya dunia yanayofanyika Los Angles, Marekani.

 

10 years ago

Habarileo

Mabondia Tanzania wang’ara Mombasa

MABONDIA wa timu ya taifa ya Tanzania wameanza vizuri mashindano ya majiji ya Afrika Mashariki baada ya mabondia wake watatu kuanza kwa ushindi dhidi ya wapinzani wao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakenya wang'ara Diamond League

Bingwa wa dunia mkenya Asbel Kiprop na mkenya mwenzake Hellen Obiri walitifua kivumbi Doha

 

11 years ago

Mwananchi

Ivo, Okwi wang’ara, Kaseja mh

Baada ya tambo za muda mrefu za mechi ya Nani Mtani Jembe kati ya Simba na Yanga, hatimaye Jumamosi iliyopita, Wekundu wa Msimbazi walionyesha ubabe wao kwa kuwanyuka watoto wa Jangwani mabao 3-1.

 

11 years ago

Mwananchi

Waandishi wanawake wang’ara Ejat

Waandishi wa habari wanawake wameibuka kidedea kwenye tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) kwa mwaka 2013, baada ya kunyakua tuzo 13, huku Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ikishinda tuzo tano kati ya tuzo 19 zilizoshindaniwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wang’ara katika tenisi Dar

Tanzania jana ilifanya kweli katika mashindano ya Afrika Mashariki na Kati ya tenisi baada ya kuibuka na ushindi katika michezo ya vijana wenye miaka 14 na 16 kwenye viwanja Dar es Salaam Gymkhana.

 

10 years ago

Mtanzania

Zitto, Mwigulu wang’ara urais 2015

Zitto-KabweNa Asifiwe George, Dar es Salaam
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema) ameng’ara katika mbio za urais mwaka 2015 akipata asilimia 18 tofauti na wagombea wengine wanaotajwa kugombea nafasi hiyo kupitia muungano wa vyama vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), utafiti umebaini.
Takwimu hizo zilitolewa na Asasi ya Utafiti wa Elimu Tanzania ( TEDRO) kwa lengo la kutathmini ushiriki wa vijana katika siasa kama wagombea na namna ambavyo vijana wanavyopokewa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani