Waandishi wanawake wang’ara Ejat
Waandishi wa habari wanawake wameibuka kidedea kwenye tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) kwa mwaka 2013, baada ya kunyakua tuzo 13, huku Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) ikishinda tuzo tano kati ya tuzo 19 zilizoshindaniwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 May
14 wang’ara Siku ya Gofu
WACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu jijini Dar es Salaam ambao walishiriki mashindano yaliyojulikana kama ‘Siku ya Gofu’, mwishoni mwa wiki waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-p_sYft3ZeF0/VC_e39zJ_2I/AAAAAAAGnvA/XJo1LrACvuo/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
Mahakama wang'ara Shimiwi
Timu ya Mahakama ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa, Abdallah “King Mputa” Kibadeni jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Ras Tanga na kuingia hatua ya robo fainali.
Wakati timu ya soka ikiingia katika hatua hiyo muhimu, timu ya mchezo, kamba (wanawake na...
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Jaja, Tegete wang’ara
10 years ago
Habarileo02 Aug
Olimpiki Maalumu wang’ara
KATIKA kudhihirisha kuwa wanaweza, timu ya Tanzania inayoshiriki Olimpiki Maalumu imeendelea kuvuna medali kwenye mashindano ya dunia yanayofanyika Los Angles, Marekani.
10 years ago
Habarileo01 Aug
Mabondia Tanzania wang’ara Mombasa
MABONDIA wa timu ya taifa ya Tanzania wameanza vizuri mashindano ya majiji ya Afrika Mashariki baada ya mabondia wake watatu kuanza kwa ushindi dhidi ya wapinzani wao.
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Ivo, Okwi wang’ara, Kaseja mh
11 years ago
BBCSwahili10 May
Wakenya wang'ara Diamond League
11 years ago
BBCSwahili02 May
Mabondia wa Kenya wang'ara Sri Lanka
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Kigundula, Meddy, Lutiginda wang’ara Simba
WAGOMBEA nafasi ya ujumbe wa Klabu ya Simba, Asha Kigundula, Ahmed Mlanzi ‘Meddy’ na Ramson Lutiginda, jana waliteka hisia za wanachama na mashabiki waliojitokeza makao makuu ya klabu hiyo kuwapa...