Watanzania wang’ara katika tenisi Dar
Tanzania jana ilifanya kweli katika mashindano ya Afrika Mashariki na Kati ya tenisi baada ya kuibuka na ushindi katika michezo ya vijana wenye miaka 14 na 16 kwenye viwanja Dar es Salaam Gymkhana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Holili, Makongo wang’ara mbio Dar
KLABU ya riadha ya Holili Youth Athletics Club (HYAC) na Sekondari ya Makongo, jana ziling’ara katika mbio za majaribio kuandaa timu ya taifa zilizofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar...
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Wakenya wawafunika watanzania michuano ya tenisi Dar open
Mmoja wa wadhamini kutoka kampuni ya mawikili ya IMMA ya Dar es Salaam, Alexander Sarac, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania kwa udhamini mkuu wa kampuni ya magari ya CFAO Motors kupitia brandi ya magari ya Mercedes Benz. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu
WACHEZA tenisi kutoka nchini Kenya wamewafunika watanzania katika michuano ya kimataifa ya kwanza ya tenisi kwa walemavu (Dar Open ).
Michuano hiyo...
10 years ago
GPL
WAKENYA WAWAFUNIKA WATANZANIA MICHUANO YA TENISI DAR OPEN
11 years ago
Mwananchi26 Oct
Jaja, Tegete wang’ara
10 years ago
Habarileo02 Aug
Olimpiki Maalumu wang’ara
KATIKA kudhihirisha kuwa wanaweza, timu ya Tanzania inayoshiriki Olimpiki Maalumu imeendelea kuvuna medali kwenye mashindano ya dunia yanayofanyika Los Angles, Marekani.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
14 wang’ara Siku ya Gofu
WACHEZAJI 14 kati ya 52 wa mchezo wa gofu jijini Dar es Salaam ambao walishiriki mashindano yaliyojulikana kama ‘Siku ya Gofu’, mwishoni mwa wiki waliibuka kidedea baada ya kufanya vizuri...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mahakama wang'ara Shimiwi
Timu ya Mahakama ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa, Abdallah “King Mputa” Kibadeni jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Ras Tanga na kuingia hatua ya robo fainali.
Wakati timu ya soka ikiingia katika hatua hiyo muhimu, timu ya mchezo, kamba (wanawake na...
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Waandishi wanawake wang’ara Ejat
11 years ago
BBCSwahili10 May
Wakenya wang'ara Diamond League