WAKENYA WAWAFUNIKA WATANZANIA MICHUANO YA TENISI DAR OPEN
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_0453.jpg?width=650)
Mmoja wa wadhamini kutoka kampuni ya mawikili ya IMMA ya Dar es Salaam, Alexander Sarac, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania kwa udhamini mkuu wa kampuni ya magari ya CFAO Motors kupitia brandi ya magari ya Mercedes Benz. Mshiriki wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania, Rehema Selemani akirusha mpira wakati akichuana na mshiriki kutoka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Wakenya wawafunika watanzania michuano ya tenisi Dar open
Mmoja wa wadhamini kutoka kampuni ya mawikili ya IMMA ya Dar es Salaam, Alexander Sarac, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania kwa udhamini mkuu wa kampuni ya magari ya CFAO Motors kupitia brandi ya magari ya Mercedes Benz. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu
WACHEZA tenisi kutoka nchini Kenya wamewafunika watanzania katika michuano ya kimataifa ya kwanza ya tenisi kwa walemavu (Dar Open ).
Michuano hiyo...
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Watanzania wang’ara katika tenisi Dar
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Michuano ya tenisi kuanza Agosti 31
9 years ago
MichuziARUSHA YAONGOZA MICHUANO YA WAZI TENISI KWA VIJANA.
Mashindano hayo yalidhaminiwa na Jubilee tyres ikiwa ni mwaka wa tatu sasa, yalishirikisha jumla ya wachezaji 90 ambao 28 kati yao ni wasichana kutoka Dar es salaam gymkhana klabu,Kijitonyama tenisi klabu kutoka Dar es...
9 years ago
BBCSwahili05 Sep
Nadal atolewa nje ya Michuano ya US Open
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Nusu fainali za michuano ya French Open