Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya tenisi kuanza Agosti 31

Kwenye Tenisi Serena williams asema ajiandaa kucheza bila mashabiki na kutajia kuweka ushindi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wakenya wawafunika watanzania michuano ya tenisi Dar open

DSC_0453

Mmoja wa wadhamini kutoka kampuni ya mawikili ya IMMA ya Dar es Salaam, Alexander Sarac, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania kwa udhamini mkuu wa kampuni ya magari ya CFAO Motors kupitia brandi ya magari ya Mercedes Benz. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

Na Mwandishi wetu

WACHEZA tenisi  kutoka nchini Kenya  wamewafunika watanzania katika michuano ya kimataifa ya kwanza ya tenisi kwa walemavu (Dar Open ).

Michuano hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

ARUSHA YAONGOZA MICHUANO YA WAZI TENISI KWA VIJANA.

 Na Woinde Shizza,ArushaJiji la Arusha limeendelea kuwa kinara katika mchezo wa tenisi baada ya wachezaji wake kuibuka kidedea kwa kutwaa ushindi katika umri tofauti tofauti ,mashindano yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Arusha Tenisi gymkhana klabu.
Mashindano hayo yalidhaminiwa na Jubilee tyres ikiwa ni mwaka wa tatu sasa, yalishirikisha jumla ya wachezaji 90 ambao 28 kati yao ni wasichana kutoka Dar es salaam gymkhana klabu,Kijitonyama tenisi klabu kutoka Dar es...

 

10 years ago

GPL

WAKENYA WAWAFUNIKA WATANZANIA MICHUANO YA TENISI DAR OPEN‏

Mmoja wa wadhamini kutoka kampuni ya mawikili ya IMMA ya Dar es Salaam, Alexander Sarac, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania kwa udhamini mkuu wa kampuni ya magari ya CFAO Motors kupitia brandi ya magari ya Mercedes Benz. Mshiriki wa michuano ya tenisi ya walemavu ya kimataifa kutoka Tanzania, Rehema Selemani akirusha mpira wakati akichuana na mshiriki kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KAGAME KUANZA JUMAMOSI

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 121 TAREHE 13 JULAI 2015 Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame Cup) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi tarehe 18 Julai 2015 jijini Dar es salaam, kwa kushirikisha timu 13 kutoka nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na kati.
Mashindano ya CECAFA Kagame Cup ni mashindano makongwe barani Afrika ambayo yalianza mwaka 1967 kwa kushirikisha timu za ukanda wa Afrika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Tennis kuanza Tanzania

Michuano ya Tennis kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 16 Afrika Mashariki kuanza jijini Dar es Salaam huku timu 8 zikishiriki.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kagame Cup Kuanza Agosti 8

Michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup inaanza Agosti 8 mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchujo FEASSSA kuanza Agosti 10

MCHUJO wa kufuzu ushiriki wa michuano ya Shule za Sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) unatarajiwa kuanza Agosti 10 katika viwanja vya Shule ya Sekondari Makongo, jijini Dar es Salaam. Kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi

Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es Salaam Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

Michuano mpira wa kikapu kuanza Tunisia

Michuano ya mpira wa kikapu kwa mataifa ya Afrika maarufu kama Afro basket yataanza kutimua vumbi leo nchini Tunisia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani