Mchujo FEASSSA kuanza Agosti 10
MCHUJO wa kufuzu ushiriki wa michuano ya Shule za Sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) unatarajiwa kuanza Agosti 10 katika viwanja vya Shule ya Sekondari Makongo, jijini Dar es Salaam. Kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Michuano ya tenisi kuanza Agosti 31
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Kagame Cup Kuanza Agosti 8
11 years ago
Michuzi03 Aug
Ligi ya Wanawake Dar kuanza Agosti 28
Ofisa Habari wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Mohamed Mharizo alisema kuwa ligi hiyo ni moja ya mkakati wao wa kuimarisha mchezo ili uweze kuwa na hamasa kwa wanawake.
Alizitaja timu zitakazoshiriki ligi hiyo kuwa ni Mburahati Queens, Evergreen Queens, Sayari, Real Tanzanite, Uzuri Queens, Simba Queens, BYC Queens, JKT Queens, Lulu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Pu0itxymJcM/U_Da3doJekI/AAAAAAAGAUA/YVesjeN0YUg/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
MSIMU WA KOROSHO KUANZA AGOSTI 20, 2014
9 years ago
Habarileo19 Aug
Utafiti afya ya uzazi na mtoto kuanza Agosti
WITO umetolewa kwa viongozi wote wa Serikali katika ngazi zote na wananchi kwa ujumla kutoa ushirikiano kwa Wasimamizi, Wahariri na Wadadisi wa Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Malaria utakaoanza rasmi Agosti 21, 2015.
11 years ago
Michuzimaonesho ya 4 ya Tanzania Homes Expo kuanza Agosti 23 - 24,2014
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun3eU8jWkBkY0Q7-XSGbUiuEayl4GvRDsQ7z02VjCJhDqV1eIj33AciH5*QJ4bEAUL18WrfU96mSAuekvt*ohlk0/PICHANAMBA1.jpg)
UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO NA MALARIA KUANZA RASMI TAREHE 21 AGOSTI, 2015
9 years ago
Dewji Blog17 Aug
Mabasi yaendayo haraka kuanza kujaribiwa leo Agosti 17 jijini Dar kwa vituo 10
Mabasi mawili yaliyoletwa nchini kwa ajili ya mradi wa mabasi yaendayo haraka kama yanavyoonekana ambapo leo yanatarajia kuanza kwa safari ya majaribio katika baadhi ya vituo ikianzia Kimara mwisho hadi Posta. Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanatarajia kuonja usafiri huo ambao ni majaribio huku wahusika wakieleza kuwa watakuwa na muda muafaka wa kutoa elimu kwa watumiaji wa usafiri huo mpaka hapo watakapouzoea.
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam). Asubuhi ya leo mabasi yaendayo...