Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi ya Wanawake Dar kuanza Agosti 28

LIGI ya Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam inatarajiwa kaunza Agosti 28 mwaka huu katika viwanja vya  Benjamin Mkapa, Bandari na Makurumla.
Ofisa Habari wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Mohamed Mharizo alisema kuwa ligi hiyo ni moja ya mkakati wao wa kuimarisha mchezo ili uweze kuwa na hamasa kwa wanawake.
Alizitaja timu zitakazoshiriki ligi hiyo kuwa ni Mburahati Queens, Evergreen Queens, Sayari, Real Tanzanite, Uzuri Queens,  Simba Queens,  BYC Queens, JKT Queens,  Lulu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

LIGI YA SOKA YA WANAWAKE NCHINI UINGEREZA KUANZA KUTIMUA VUMBI MEI 29

  Ligi ya soka ya wanawake nchini Ujerumani inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 29, lakini bila ya mashabiki. Shirikisho la soka la Ujerumani, DFB limetangaza hatua hiyo jana baada ya ligi hiyo kusimamishwa kwa takriban miezi mitatu kutokana na janga la virusi vya corona.
Ligi ya wanaume ilirejea wiki iliyopita, pia bila ya mashabiki uwanjani na chini ya vizuizi vikali vya kiafya vilivyotengenezwa kwa lengo la kupunguza kusambaa kwa maambukizi.

 Rais wa DFB Fritz Keller ameeleza kufurahishwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabasi yaendayo haraka kuanza kujaribiwa leo Agosti 17 jijini Dar kwa vituo 10

maba

Mabasi mawili yaliyoletwa nchini kwa ajili ya mradi wa mabasi yaendayo haraka kama yanavyoonekana ambapo leo yanatarajia kuanza kwa safari ya majaribio katika baadhi ya vituo ikianzia Kimara mwisho hadi Posta. Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanatarajia kuonja usafiri huo ambao ni majaribio huku wahusika wakieleza kuwa watakuwa na muda muafaka wa kutoa elimu kwa watumiaji wa usafiri huo mpaka hapo watakapouzoea.

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Dar es Salaam). Asubuhi ya leo mabasi yaendayo...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

 

9 years ago

Habarileo

Ligi Dar es Salaam kuanza leo

MICHUANO ya ligi ya mkoa wa Dar es Salaam kwa msimu wa mwaka 2015/2016 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti.

 

11 years ago

Michuzi

FACEBOOK KUZINDULIWA JIJINI DAR AGOSTI 3,WAKAZI WA MWANZA WAJIANDAE AGOSTI 10 UWANJA WA CCM KIRUMBA


Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu kwa jina la FACEBOOK ya mwimbaji nguli wa muziki wa injili Rose Muhando, 
Msama alisema kuwa albamu hiyo itazinduliwa Agosti 3 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond-Jubilee jijini Dar es Salaam na baada ya hapo itatambulishwa katika mikoa kadhaa nchini.
 Msama amesema kuwa baada ya albamu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Michuano ya tenisi kuanza Agosti 31

Kwenye Tenisi Serena williams asema ajiandaa kucheza bila mashabiki na kutajia kuweka ushindi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mchujo FEASSSA kuanza Agosti 10

MCHUJO wa kufuzu ushiriki wa michuano ya Shule za Sekondari za Afrika Mashariki (FEASSSA) unatarajiwa kuanza Agosti 10 katika viwanja vya Shule ya Sekondari Makongo, jijini Dar es Salaam. Kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kagame Cup Kuanza Agosti 8

Michuano ya klabu Bingwa Afrika mashariki na kati maafuru Kagame Cup inaanza Agosti 8 mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

MSIMU WA KOROSHO KUANZA AGOSTI 20, 2014

Bodi ya korosho Nchini Imetangaza Kuanza rasmi kwa ununuzi na uuzaji wa korosho katika msimu wa 2014/2015 utakaonza tarehe 20 mwezi huu ili wakulima waweze kuitumia vema fursa ya kuvuna mapema korosho zao kabla ya nchi nyingine kuanza kuvuna. Mwenyekiti wa bodi ya korosho Tanzania Mhe Anna Abdallah (MB)ameyasema hayo akiongea na waandishi wa habari na kubainisha kuwa ili kufikia azima hiyo ya kutumia fusa ya uvunaji mapema ni vizuri wadau wote wanaohusika na uuzaji na ununuzi wakamilishe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani