Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Dar es Salaam kuanza leo

MICHUANO ya ligi ya mkoa wa Dar es Salaam kwa msimu wa mwaka 2015/2016 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane. Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia saini katika mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi ya mpira...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam

 Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania Bara kuanza leo

Ligi kuu ya Tanzania bara, Vodacom inaanza mzunguko wa pili leo baada ya kusimama tangu Novemba saba.

 

11 years ago

Michuzi

Ligi ya Wanawake Dar kuanza Agosti 28

LIGI ya Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam inatarajiwa kaunza Agosti 28 mwaka huu katika viwanja vya  Benjamin Mkapa, Bandari na Makurumla.
Ofisa Habari wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Mohamed Mharizo alisema kuwa ligi hiyo ni moja ya mkakati wao wa kuimarisha mchezo ili uweze kuwa na hamasa kwa wanawake.
Alizitaja timu zitakazoshiriki ligi hiyo kuwa ni Mburahati Queens, Evergreen Queens, Sayari, Real Tanzanite, Uzuri Queens,  Simba Queens,  BYC Queens, JKT Queens,  Lulu...

 

11 years ago

Mwananchi

Kinana kuanza ziara Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kesho anaanza ziara mkoani Dar es Salaam kukagua uhai wa chama na utekelezaji wa ilani ya chama hicho.

 

11 years ago

Michuzi

ndege nyingine ya atc yatua dar es salaam, kuanza kazi kesho

 ndege nyingine ya air tanzania aina ya  CRJ-200 ER yenye  uwezo wa kubeba abiria 50 imeingia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa toka shirika hilo  ndege hiyo itaanza  kuruka kesho.

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA KUANZA UANDIKISHAJI BVR DAR ES SALAAM NA PWANI

Na Mwandishi-Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR) lililoahirishwa katika jiji la Dar es salaam na mkoa wa Pwani hivi karibuni sasa litafanyika kuanzia  Julai 7-20 kwa mkoa wa Pwani na Julai 16- 25 kwa jiji la Dar es salaam. 
Uboreshaji wa Daftari hilo kwa jiji la Dar es salaam na Mkoa wa Pwani uliahirishwa kutokana na kuchelewa kwa vifaa vya uboreshaji kutoka mikoani ambavyo vilipelekwa ili...

 

5 years ago

Michuzi

Jiji la Dar es salaam na Mwanza kutumika kwa ligi nne





Jiji la Dar es salaam na Mwanza kutumika kwa ligi nne

Na Eleuteri Mangi-WHUSM, Dodoma.

Serikali imeruhusu ligi kuu nne kuanza kuchezwa nchini kuanzia Juni 1, 2020 kwa tahadhari zote ili kumpata bingwa wa ligi hizo na timu mwakilishi katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dodoma kuhusu uamuzi wa Serikali wa kuanza kwa ligi hizo baada ya kusitishwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani