Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana kuanza ziara Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kesho anaanza ziara mkoani Dar es Salaam kukagua uhai wa chama na utekelezaji wa ilani ya chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AANZA ZIARA YA SIKU NNE MKOA WA DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipokelewa kwa shangwe na Wanachama mbalimbali wa chama hicho mapema leo asubuhi alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za CCM Wilaya ya Ilala,ambapo alizungumza machache na  kamati ya siasa ya Wilaya na baadae kuanza ziara rasmi wilaya ya Ilala.
 Pichani kulia ni Mwenyekiti Mkoa wa CCM,Dar Es salaam Ndugu Ramadhan Madabida akizungumza jambo mbele ya kamati ya Siasa ya mkoa (hawapo pichani) mapema leo,kwenye ofisi Kuu za CCM mkoa,ambapo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA KUANZA ZIARA LINDI NA MTWARA



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana kuanza ziara ya siku 2 Tanga

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuwasili leo kwa ajili ya kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili katika baadhi ya wilaya za mkoa wa Tanga.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana kuanza ziara ya mikoa ya Mtwara na Lindi

uh

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 26 TABORA, SINGIDA NA MANYARA

*NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM  *KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI  * KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akiwa na baadhi ya waandishi wa habari watakaoungana na Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana, katika ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara itakayoanza kesho katika jimbo la Igunga mkoani Tabora. Nape alipiga picha na na waandishi hao leo baada ya kuzungumza nao kuhusu ziara hiyo,...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA KUANZA ZIARA KESHO KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita na Mwanza itakayoanza tarehe 4 June.Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape NnauyeKatibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha picha ya muonekano wa basi maalum litakalotumika kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuelekea mkoani Kagera.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Kigoma kuanza ziara ya kikazi ya siku tano

Untitled

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jana  jioni akitokea Rwanda, tayari kuendelea na ziara ya siku tano katika Mkoa wa Kigoma, kwa ajili ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayoyekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.

 Kinana akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Walidi Kaburu baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma.Kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Zanzibar, Ally Karume.

 Gwaride la...

 

11 years ago

GPL

KINANA ATINGA KIGOMA KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO‏

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jioni hii akitokea Rwanda, tayari kuendelea na ziara ya siku tano katika Mkoa wa Kigoma, kwa ajili ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayoyekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
 Kinana akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Walidi Kaburu baada ya kuwasili kwenye… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani