NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam
.jpg)
Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
DART yaainisha mafanikio yaliyopatikana katika BRT, kuleta mabasi 76 Mwezi Septemba mwaka na kuanza rasmi kipindi cha mpito


Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imeisifu serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete kwa mafanikio ya ujenzi wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza septemba mwaka huu.
Mradi huu unatarajia kuboresha maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambalo limesongwa na...
11 years ago
Michuzi.jpg)
mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani
.jpg)
10 years ago
Michuzi
Dk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam



10 years ago
Habarileo17 Aug
Mabasi ya kasi Dar mbioni kuanza kazi
MABASI maalumu kwa ajili ya kutoa huduma chini ya mradi wa mabasi yaendayo haraka yameingia nchini tayari kwa kuanza huduma.
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Mabasi yaendayo haraka kuanza kujaribiwa leo Agosti 17 jijini Dar kwa vituo 10
Mabasi mawili yaliyoletwa nchini kwa ajili ya mradi wa mabasi yaendayo haraka kama yanavyoonekana ambapo leo yanatarajia kuanza kwa safari ya majaribio katika baadhi ya vituo ikianzia Kimara mwisho hadi Posta. Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanatarajia kuonja usafiri huo ambao ni majaribio huku wahusika wakieleza kuwa watakuwa na muda muafaka wa kutoa elimu kwa watumiaji wa usafiri huo mpaka hapo watakapouzoea.
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar es Salaam). Asubuhi ya leo mabasi yaendayo...
10 years ago
Habarileo30 Jun
Mabasi ya mafunzo BRT kuanza karibuni
MRADI wa mabasi yaendayo kasi (BRT) umesema yapo mabasi mawili hadi sasa bandarini kwa ajili ya kutoa mafunzo katika barabara zilizojengwa nchini kwa ajili ya usafiri wa mabasi yaendayo kwa kasi.
10 years ago
Michuzi13 Jul
NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...
9 years ago
Michuzi
MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART) KUANZA JANUARI 10, 2016.
Pia Majaliwa amewaagiza watendaji wizara ya Tamisemi ambao ni wamiliki wa mradi huo kusimamia vyema ili uanze kufanya kazi kama ilivyo pangwa kwa kuwa mabasi 120 yalishawasili jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu ameanza kwa kukagua vituo vya mradi huo kuanzia cha Feri, Jangwani,...
11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)