Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DART yaainisha mafanikio yaliyopatikana katika BRT, kuleta mabasi 76 Mwezi Septemba mwaka na kuanza rasmi kipindi cha mpito

Muonekano wa sehemu ya awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza Septemba mwaka huu. 
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imeisifu serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete kwa mafanikio ya ujenzi wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza septemba mwaka huu. 
Mradi huu unatarajia kuboresha maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambalo limesongwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam

 Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Mafanikio ya BRN katika kipindi cha mwaka mmoja

Mwezi Juni mwaka 2013, Rais Jakaya Kikwete alimteua Omari Issa kuwa mtendaji mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

10 years ago

BBCSwahili

Japan katika kipindi cha mpito kiuchumi

Takwimukutoka katika serikali ya Japan zinaonesha kwamba uchumi wa nchi hiyo unashuka kwa asilimia 1.9 kwa mwaka.

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi ya mafunzo BRT kuanza karibuni

MRADI wa mabasi yaendayo kasi (BRT) umesema yapo mabasi mawili hadi sasa bandarini kwa ajili ya kutoa mafunzo katika barabara zilizojengwa nchini kwa ajili ya usafiri wa mabasi yaendayo kwa kasi.

 

10 years ago

Michuzi

HAFLA YA KIKUNDI CHA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE WALIOMALIZA MASOMO KATIKA KIPINDI KATI YA MWAKA 1992 NA MWAKA 1996 YAFANA

1Kaimu Mkuu wa Chuo Mzumbe Prof. Josephat Itika akizungumza katika hafla ya kikundi cha wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 2Wahitimu wa chuo cha Mzumbe waliomaliza masomo katika kipindi kati ya mwaka 1992 na mwaka 1996 wakimsikiliza Prof. Josephat Itika wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 4Wana kamati waliondaliwa kwaajili ya kufungua shampeni wakati wa hafla hiyo. 5Naibu ...

 

10 years ago

GPL

NACTE YAPATA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 10

Mkurugenzi wa Idara ya Ushauri na malezi wa vyuo(NACTE).Dkt. Adolf Rutayuga (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na mafanikio ya usajili wa taasisi na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi yaliyopatikana katika kipindi cha serikali ya awamu ya Nne ambapo umeongezeka kutoka 168 mwaka 2005 hadi 528 mwaka 2015 huku 206 vikiwa ni vya Serikali na 322 si vya Serikali.Wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (DART) KUANZA JANUARI 10, 2016.

MRADI wa Mabasi yaendayo haraka (BRT) kuanza Januari 10, 2016 hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa wakati akikagua ujenzi wa miundo mbinu ya Mradi wa Mabasi yaendayo haraka leo jijini Dar es Salaam.
Pia Majaliwa amewaagiza watendaji wizara ya Tamisemi ambao ni wamiliki wa mradi huo kusimamia vyema ili uanze kufanya kazi kama ilivyo pangwa kwa kuwa mabasi 120 yalishawasili jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu ameanza kwa kukagua vituo vya mradi huo kuanzia cha Feri, Jangwani,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani