Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Japan katika kipindi cha mpito kiuchumi

Takwimukutoka katika serikali ya Japan zinaonesha kwamba uchumi wa nchi hiyo unashuka kwa asilimia 1.9 kwa mwaka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DART yaainisha mafanikio yaliyopatikana katika BRT, kuleta mabasi 76 Mwezi Septemba mwaka na kuanza rasmi kipindi cha mpito

Muonekano wa sehemu ya awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza Septemba mwaka huu. 
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imeisifu serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete kwa mafanikio ya ujenzi wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza septemba mwaka huu. 
Mradi huu unatarajia kuboresha maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambalo limesongwa na...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Lionel Messi aonesha control hatari ya mpira kwenye kipindi cha mchezo cha Japan

Lionel Messi anajulikana kwa uwezo wa kuchezea mpira na control za hatari. Kipindi cha michezo cha Japan kilitaka kujaribu zaidi uwezo wake kwa kumtaka aupige mpira kwenye nguzo yenye urefu wa futi 60 na kisha kuupokea upande wa pili. Akionesha kufanya hivyo kwa rahisi kabisa, Messi aliupiga mpira huo mara mbili na kuucontrol bila wasiwasi.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam

 Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

RFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK

Na Lorietha Laurence-Maelezo
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATEMBELEA KITUO CHA MPITO CHA WAKIMBIZI MJINI KIGOMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akiwa ndani ya moja ya nyumba za Wakimbizi waliopo katika Kituo cha Mpito cha Wakimbizi (NMC) kilichopo mjini Kigoma. Katika nyumba hiyo Waziri Chikawe alizungumza na familia ya mkimbizi kutoka nchini Kongo (kushoto) wanaoishi katika nyumba hiyo. Waziri Chikawe yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi. Wapili kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole. Kituo hicho...

 

10 years ago

Michuzi

USAFIRI PENDWA KATIKA KIPINDI CHA MGOMO

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi ya jiji la Dar na sehemu zingine nyingi, baada ya mgomo wa mabasi unaoendelea hivi sasa kwa nchi nzima. hapo nauli ni kuanzia mia tano mpaka elfu moja. Huu ndio usafiri pendwa kwa kipindi hiki.

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani