Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USAFIRI PENDWA KATIKA KIPINDI CHA MGOMO

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi ya jiji la Dar na sehemu zingine nyingi, baada ya mgomo wa mabasi unaoendelea hivi sasa kwa nchi nzima. hapo nauli ni kuanzia mia tano mpaka elfu moja. Huu ndio usafiri pendwa kwa kipindi hiki.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO

  Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita kituo cha Mwenge jijini Dar es salaam bila kusimama, ikiwa ni siku ya kwanza wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.  Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote  Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi kikiwa Kitupu Muda huu  Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja  Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge  Eneo ambalo...

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA DALADALA DAR WASABABISHA MTAFARUKU WA USAFIRI

Wanafunzi na abiria wakisubiri daladala bila mafanikio maeneo ya Mwenge. Baadhi ya wananchi wanaotumia barabara ya Mwenge-Posta wakitembea kwenda kwenye shughuli zao. Hali…

 

10 years ago

Michuzi

RFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK

Na Lorietha Laurence-Maelezo
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...

 

11 years ago

GPL

MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VYAKULA MBALIMBALI KWA WATOTO YATIMA WANAOLELEA KATIKA KITUO CHA NEW LIFE ORPHANS HOME CHA KIGOGO JIJINI DAR ES SALAAM

Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya  ambao ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo mchele na Maharage.
Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto)...

 

10 years ago

Vijimambo

Leo katika kipindi cha Jukwaa Langu

JUKWAA LANGU ni kipindi ambacho kitakuwa kikikujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015

 

10 years ago

BBCSwahili

Japan katika kipindi cha mpito kiuchumi

Takwimukutoka katika serikali ya Japan zinaonesha kwamba uchumi wa nchi hiyo unashuka kwa asilimia 1.9 kwa mwaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani