Leo katika kipindi cha Jukwaa Langu

JUKWAA LANGU ni kipindi ambacho kitakuwa kikikujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMahojiano na Liberatus Mwang'ombe katika kipindi cha JUKWAA LANGU
9 years ago
Michuzi
Mahojiano na DC Paul Makonda katika kipindi cha JUKWAA LANGU Dec 7 2015

10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL) KILA SIKU YA LEO JUMATATU KUANZIA SAA 12 JIONI ET USIKOSE

Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU
10 years ago
Michuzi
kipindi cha Jukwaa Langu

10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Audio ya Kipindi cha Jukwaa Langu

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Na leo, tulizungumzia Tanzania baada ya Uchaguzi wa Oktoba 25, 2015.
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Jukwaa Langu Agosti 17 2015

Katika kipindi hiki utasikia mjadala wetu na wageni Jeff Msangi toka Toronto Canada na Darmatus Nambai aliyehudhuria studio kuhusu DEMOKRASIA na MABADILIKO kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Jukwaa Langu Sep 21 2015

Hii ni sehemu ya kwanza ya kipindi kilichosikika Septemba 21, 2015 ambapo mbali na waongozaji Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio, pia walikuwepo Georgina Lema, NY Ibra na Dr Temba toka New York.
Kutoka Tanzania tuliungana na Richard Kasesela
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Septemba 21, 2015 ambapo mbali na waongozaji Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio, pia walikuwepo Georgina...
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha JUKWAA LANGU, Julai 13, 2015

Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali akiwemo Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Ndg. Nape Nnauye kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU
10 years ago
Michuzi
Kipindi cha Jukwaa Langu Okt 26 2015

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015Na leo, tulizungumzia Tanzania baada ya Uchaguzi wa jana Oktoba 25, 2015
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania