Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL) KILA SIKU YA LEO JUMATATU KUANZIA SAA 12 JIONI ET USIKOSE

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL)

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMAStudioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya MarekaniKARIBU

 

10 years ago

Vijimambo

KIPINDI CHA JUKWAA LANGU KINACHORUSHWA LIVE KILA SIKU YA JUMATATU

JUKWAA LANGU kutoka Kwanza Production, Vijimambo Radio na Border Media Group. Kipindi kipya kinachorushwa LIVE kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12 kamili jioni (6:00pm) EST kwa saa za Marekani ya Mashariki.JUKWAA LANGU ni kipindi kiinachozungumzia mambo mbalimbali yanayotokea Duniani ikiwemo maswala ya siasa na kuangalia mstakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi na kupata fulsa ya kuongea na watu mbalimbali ndani na nje ya Marekani

 Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

[AUDIO]: Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 14 2015

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Septemba 14, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Jonathan Samiya na Nyakia, ambaye ni mmoja wa wakuu wa Itifaki wa kampeni za Dr Magufuli
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, Clare Ng'owo, Ali Badawy na Shamis Abdulla
Kwenye line tulikuwa na Jeff Msangi, Dr Patrick Nhigula na Arthur

 

9 years ago

Vijimambo

Kipindi cha JUKWAA LANGU. Jumatatu Agosti 24, 2015

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hii ni sehemu ya kwanza ya kipindi kilichosikika Agosti 24, 2015

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Agosti 24, 2015

 

9 years ago

Michuzi

Kipindi cha Jukwaa Langu Dec 21 2015 (FULL)

Kipindi hiki hukujia kila jumatatu kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki kuijadili Tanzania ya sasa na ile tuitakayo.Kuna mengi tuliyogusia pamoja na wasikilizaji wetuKARIBU

 

9 years ago

Michuzi

Kipindi cha JUKWAA LANGU December 28, 2015 (FULL)

Photo Credits: govtech.com
Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu Tanzania ya sasa na ile tuitakayo. Wiki hii ni ya mwisho kwa mwaka 2015, hivyo kipindi hiki kimeangaza baadhi ya yaliyotokea katika siasa za Tanzania. Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, Said Mwamende na Mama Jessica Mushala. Na kama kawaida, kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani KARIBU

 

9 years ago

Vijimambo

Kipindi cha Jukwaa Langu Okt 26 2015 (FULL)

Photo Credits: dw.com/sw
Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Na leo, tulizungumzia Tanzania baada ya Uchaguzi wa jana Oktoba 25, 2015

 

9 years ago

Michuzi

KIPINDI CHA JUKWAA LANGU OCT 19 2015 (FULL)

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015Ni kipindi cha mwisho kabla ya uchaguzi, na washiriki wengi walishiriki kutoa mchango wao kuhusu mchakato ulivyokuwa, na neno ama wosia wao kwa waTanzania woteKARIBU

 

10 years ago

Vijimambo

Kipindi cha Jukwaa Langu Julai 27 2015 (FULL)

Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani