Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MGOMO WA DALADALA DAR WASABABISHA MTAFARUKU WA USAFIRI

Wanafunzi na abiria wakisubiri daladala bila mafanikio maeneo ya Mwenge. Baadhi ya wananchi wanaotumia barabara ya Mwenge-Posta wakitembea kwenda kwenye shughuli zao. Hali…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO

  Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita kituo cha Mwenge jijini Dar es salaam bila kusimama, ikiwa ni siku ya kwanza wasafirishaji hao kuamriwa kutumia kituo cha Makumbusho ambacho inaelekea hawaafiki.  Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote  Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi kikiwa Kitupu Muda huu  Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja  Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge  Eneo ambalo...

 

10 years ago

GPL

MOSHI WASABABISHA DALADALA KUGONGANA DAR

Umati wa watu ukijaribu kuokoa abiria waliokuwemo. Gari lililokuwa likitokea Kawe kuelekea Kariakoo likiinuliwa. Mwonekano wa gari lililodaiwa kutoa moshi na kusababisha…

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI, DALADALA WAZIDI KUTIKISA DAR

Polisi wakiwa wametanda eneo la Stendi ya Ubungo kuhakikisha hali ya usalama. Wananchi wakiwa wametaharuki katika eneo la Ubungo kutokana na mgomo unaoendelea.…

 

10 years ago

Vijimambo

MADEREVA WA DALADALA JIJINI DAR WAFANYA MGOMO LEO

 Umati wa abiria wakiwa kwenye kituo cha daladala cha Darajani-Ubungu huku kukiwa hakuna daladala yoyote inayofanya kazi baada ya kutokea kwa mgomo wa madereva wa Daladala jijini Dar. Baadhi ya abiria wakiwa wamepanda magari ya mizigo baada ya kukosekana kwa daladala maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi.

 Mmoja wa abiria akiongea na dereva wa kibasi kidogo kuangalia kama kuna uwezekano wa kupata usafiri maeneo ya Mwenge jijini Dar.
 Katika kituo cha mabasi cha Mpakani eneo la...

 

10 years ago

GPL

MGOMO DALADALA, MABASI WAZIDI KUTIKISA DAR, MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA!

Baadhi ya abiria wakionekana kurudi kwao baada ya kushindwa kusafiri. Mtetezi wa Chama cha Abiria Nchini, Gervas Lutakuzinga akizungumza na wanahabari ikiwa ni siku ya pili ya mgomo wa mabasi na daladala za jijini Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Bongo5

Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)

Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa. Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu. Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa […]

 

11 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA DAR KUGOMA KUPELEKA ABIRIA MWENGE KUTOKA MAKUMBUSHO

 Mkaguzi kutoka Sumatra akiongea na Vyombo vya habari na madereva na makondakta  Kamanda wa Polisi kinondoni akitoa mrejesho kwa waandishi wa habari baada ya kuweza kukubaliana na Madereva na Makondakta kutumia barabara kuu kwa siku mbili ili wakati wakiendelea kushughulikia utaratibu wa kutengenezwa kwa barabara za ndani ambazo walikuwa wanapaswa kuzitumia
 Abiria wanaotumia njia ya makumbusho kuelekea Mwenge wakitokea Tandika na Mbagala jijini Dar es salaam leo wameonja Joto ya jiwe...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgomo wa daladala watikisa Arusha

Mgomo wa mabasi yanayofanya safari zake kati ya Moshi na Arusha, jana ulitikisa miji hiyo kwa saa nane mfululizo, huku baadhi ya daladala za katikati ya Mji wa Moshi nazo zikishiriki mgomo huo.

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA MGOMO WA DALADALA MANISPAA YA MORO

Wanafunzi wa shule mbalimbali za manispaa ya Morogoro wakiwa kwenye lori baada ya mgomo wa madereva daladala leo. ...Baadhi ya wanafunzi wakishuka baada ya kufika wanapoelekea. (Picha zote na Dustan Shekidele / GPL,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani