NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari zilizotufikia chumba cha habari zinasema kwamba watu kadhaa wameuwawa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, baada ya kuvamia kituo kidogo cha Polisi cha Sitakishari, Ukonga jijini Dar es salaam usiku huu.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-R9gvbev0ehY/Ux2hsZajWGI/AAAAAAAFSqk/xkBnl0abp9U/s72-c/unnamed+(28).jpg)
EPZA YASAIDIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA MAKUBURI KIBANGU, DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-R9gvbev0ehY/Ux2hsZajWGI/AAAAAAAFSqk/xkBnl0abp9U/s1600/unnamed+(28).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m-Eul0kNoxs/U5hJnSOifCI/AAAAAAAFpw8/eAlwlSBE5-c/s72-c/IMG-20140611-WA0002-1.jpg)
News Alert: Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari
![](http://4.bp.blogspot.com/-m-Eul0kNoxs/U5hJnSOifCI/AAAAAAAFpw8/eAlwlSBE5-c/s1600/IMG-20140611-WA0002-1.jpg)
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30.
Ndipo...
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9XO0iVqomug/VMKw78ONDQI/AAAAAAAG_NM/3pctYRSdRBI/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: majambazi wawili wauwawa katika jaribio la kupora pesa kariakoo, Dar es salaam usiku huu
![](http://2.bp.blogspot.com/-9XO0iVqomug/VMKw78ONDQI/AAAAAAAG_NM/3pctYRSdRBI/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-hF70Av9Mx6Y/VMKw8PkcR0I/AAAAAAAG_NQ/VJITQghw-7E/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL8B2fQNibjloNJ4nr1KUCPNtUdkmUIgA3Ojjra1PNLj62bYeNfqzbfxotlj-bgmIARQkp2QC0Me-BzsbYNjKUXo/breakingnews.gif)
KITUO CHA POLISI IKWIRIRI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI, ASKARI WAWILI WAUWAWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR4ur97VhIdHrwwacMHra1YOjmjnrzAl7RP7DI3YZHKtOrvI*epTTORCUd5H4PNqWuicflqHnYJzsmc*IltS4ZSd/BREAKING.gif)
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Rais Kikwete afungua kituo cha Michezo Kidogo Chekundu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi kituo cha michezo cha Jakaya M.Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar...
10 years ago
Michuzi21 Jan
BREAKING NYUZZZZ.....: KITUO CHA POLISI IKWIRIRI,RUFIJI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI,ASKARI WAWILI WAUWAWA
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo,huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na Wp Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s72-c/unnamed%2B(69).jpg)
CHIKAWE AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO YA DHARURA CHA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-QD1vNIM7eeY/VVcTEZQyNVI/AAAAAAAHXkM/8HxsXC3v5uw/s640/unnamed%2B(69).jpg)