News Alert: Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari
Mnamo tarehe 11/06/14 majira ya 0100hrs huko kituo kidogo cha Kimanzichana Pwani,watu wasiojulikana waliojifanya kuwa ni raia wema waliingia kituo kidogo cha Polisi Kimanzi Chana huku wakikimbia wakiwa na silaha za jadi kiasi cha askari wa zamu kuamini kuwa ni watu wanaohitaji msaada.
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH
NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi
30.
Ndipo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Jul
NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...
10 years ago
GPLKITUO CHA POLISI IKWIRIRI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI, ASKARI WAWILI WAUWAWA
10 years ago
MichuziMWILI WA MMOJA WA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI STAKISHARI WAAGWA
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua askari wawili, yapora SMG tano
10 years ago
Michuzi21 Jan
BREAKING NYUZZZZ.....: KITUO CHA POLISI IKWIRIRI,RUFIJI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI,ASKARI WAWILI WAUWAWA
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo,huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na Wp Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza...
10 years ago
CloudsFM22 Jan
Majambazi wavamia kituo, waua polisi wawili
Kutokana na tukio hilo, Jeshi la Polisi liko katika msako mkali, huku Mkuu wa jeshi hilo, IGP, Ernest Mangu akitangaza donge nono la Sh milioni 20 kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo na silaha.
Akizungumza na waandishi wa habari kwa njia ya simu kutoka eneo la...
10 years ago
VijimamboBREAKING NEWS:MAJAMBAZI YAVAMIA KUTUO CHA POLISI UKONGA STAKI SHARI YAUA ASKARI NA RAIA
Vijimambo iliongea na mmoja ya mkazi wa eneo hilo yeye alisema alisikia milio ya risasi mida ya saa 5 usiku karibu na nyumbani kwake lakini hafahamu kilichotokea. Mkazi mwingine wa Ukonga alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na...
10 years ago
GPLNEWS ALERT: WAENDESHA BODABODA NACHINGWEA WAZINGIRA KITUO CHA POLISI
11 years ago
Habarileo13 Jul
Wananchi wavamia kituo cha polisi
POLISI wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamelazimika kutumia mabomu na risasi za moto ili kuwanusuru askari wawili wasiuawe baada ya kuzuka ugomvi kati ya askari polisi wa Kituo cha Lukumbule na wananchi wa vijiji vya Lukumbule na Mchesi.