MWILI WA MMOJA WA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI STAKISHARI WAAGWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UjvMQCs5QpA/VaYUcoqS8mI/AAAAAAAABdA/a6VvBc4i8jA/s72-c/IMG_20150714_173808.jpg)
Jeneza lenye mwili wa marehemu Koplo Gaudin Kakoko, likiwa nyumbani kwa marehemu, Majohe, Ilala Jijini Dar es Salaam tayari kwa mwili wa marehemu kuagwa na wapendwa wake,Mwili huo ulisafirishwa jana kupelekwa kwao wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera kwa mazishi.Marehemu ni mmoja wa askari wanne waliouawa na majambazi hivi majuzi baada ya kukivamia kituo cha polisi Stakishari, Ukonga, Ilala Jijini Dar es Salaam, Mungu ailaze roho ya marehemu wote mahali pema peponi.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI, WAKAMATWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL8B2fQNibjloNJ4nr1KUCPNtUdkmUIgA3Ojjra1PNLj62bYeNfqzbfxotlj-bgmIARQkp2QC0Me-BzsbYNjKUXo/breakingnews.gif)
KITUO CHA POLISI IKWIRIRI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI, ASKARI WAWILI WAUWAWA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uBT-csvC4WU/default.jpg)
10 years ago
VijimamboASKARI WANNE NA RAIA WATATU NDIO WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE UVAMIZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA.
Askari wanne na raia watatu wamefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kituo kidogo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kuvamiwa na watu wanaosadikika majambazi.
Majambazi hao waliokadiriwa kua wanane walivamia kituo hicho mida ya saa 4 usku Jumapili July 12, 2015 usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Enerst Mangu amesema lengo la majambazi hayo ilikua ni kuiba silaha zilizokuwepo...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-m-Eul0kNoxs/U5hJnSOifCI/AAAAAAAFpw8/eAlwlSBE5-c/s72-c/IMG-20140611-WA0002-1.jpg)
News Alert: Majambazi wavamia kituo cha Polisi Kimanzichana na kuua Askari
![](http://4.bp.blogspot.com/-m-Eul0kNoxs/U5hJnSOifCI/AAAAAAAFpw8/eAlwlSBE5-c/s1600/IMG-20140611-WA0002-1.jpg)
Cha kushangaza watu hao walimvamia askari mwenye silaha ambaye amefahamika kwa jina la JOSEPH NGONYANI na kuanza kumkatakata mapanga na hatimaye kupora silaha aina ya SMG ikiwa na risasi 30.
Ndipo...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Majambazi yateka kituo cha polisi, yaua askari wawili, yapora SMG tano
10 years ago
Michuzi21 Jan
BREAKING NYUZZZZ.....: KITUO CHA POLISI IKWIRIRI,RUFIJI CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI,ASKARI WAWILI WAUWAWA
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo,huku askari wanaodaiwa kupotenza maisha ni Cop. Edgar aliyekatwa mapanga na Wp Judith aliyepigwa risasi ubavuni upande wa kulia na kutokea upande wa kushoto.
Hivi sasa hali ni tete katika eneo hilo na watu wamekusanyika huku polisi wakiongeza...
9 years ago
Michuzi27 Nov
KESI YA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA ASKARI WA KITUO CHA STAKISHARI YAAHIRISHWA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeairisha kesi inayowakabili watuhumiwa kumi (10)wa ujambazi wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari Polisi wa kituo Stakishari jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari wa Kituo cha Stakishari ni Omary makota(28),Rajab Ulatule(22),Ramadhani Ulatule(20),Fadhiri Lukwembe(23),Ally Salum(63).
Wengine ni Hamis Salum(51),Nassoro Abdalah(42)Seleman Salum(83),Said Mohamed(67) na Said Abdulah(45)....
10 years ago
GPLASKARI WALIOUAWA, KUPORWA SILAHA PWANI WAAGWA DAR