Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KESI YA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA ASKARI WA KITUO CHA STAKISHARI YAAHIRISHWA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeairisha kesi inayowakabili watuhumiwa kumi (10)wa ujambazi wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari Polisi wa kituo Stakishari jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari wa Kituo cha Stakishari ni Omary makota(28),Rajab Ulatule(22),Ramadhani Ulatule(20),Fadhiri Lukwembe(23),Ally Salum(63).
Wengine ni Hamis Salum(51),Nassoro Abdalah(42)Seleman Salum(83),Said Mohamed(67) na Said Abdulah(45)....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MMOJA WA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI KITUO CHA POLISI STAKISHARI WAAGWA

Jeneza lenye mwili wa marehemu Koplo Gaudin Kakoko, likiwa  nyumbani kwa marehemu, Majohe, Ilala Jijini Dar es Salaam tayari kwa mwili wa marehemu kuagwa na wapendwa wake,Mwili huo ulisafirishwa jana kupelekwa kwao wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera kwa mazishi.Marehemu ni mmoja wa askari wanne waliouawa na majambazi hivi majuzi baada ya kukivamia kituo cha polisi Stakishari, Ukonga, Ilala Jijini Dar es Salaam, Mungu ailaze roho ya marehemu wote mahali pema peponi.Baadhi ya waombolezaji wakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WANNE NA RAIA WATATU NDIO WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE UVAMIZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA.

Mkuu wa Jeshi la Poilisi nchini, Ernest Mangu akiongea na wanahabari mapema leo.
Askari wanne na raia watatu wamefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kituo kidogo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kuvamiwa na watu wanaosadikika majambazi.
Majambazi hao waliokadiriwa kua wanane walivamia kituo hicho mida ya saa 4 usku Jumapili July 12, 2015 usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Enerst Mangu amesema lengo la majambazi hayo ilikua ni kuiba silaha zilizokuwepo...

 

9 years ago

GPL

ASKARI MAGEREZA ALIYEPANGA MAUAJI STAKISHARI AUAWA

Makongoro Oging’ na richard bukos, mkuranga  MAPYA tena! Aliyekuwa askari magereza wa Gereza la Dondwe, Wilaya ya Mkuranga, Pwani, Juma Rashid ambaye Uwazi liliwahi kumripoti kuwa, ndiye ayechora ramani yote ya uvamizi na mauaji ya askari wa Kituo cha Polisi Stakishari, Dar imebainika kwamba ameuawa, Uwazi linazidi kukokotoa. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MznZjy ...

 

10 years ago

Dewji Blog

THBUB yalaani mauaji ya askari polisi na raia Stakishari — DSM

MB1

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.

Tamko la THBUB kulaani Mauaji ya Polisi Stakishari-DSM.pdf 

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU IGP AWAJULIA HALI ASKARI WALIOJERUHIWA KATIKA TUKIO LA UVAMIZI KITUO STAKISHARI, UKONGA

Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi D-IGP, Abrahaman Kaniki(katikati) akimuangalia majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi sitakishari konstebo Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa Muhimbili, askari huyo anaendelea na matibabu. Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi D/IGP, Abrahaman Kaniki(katikati) akimuangalia majeruhi wa tukio la uvamizi wa kituo cha Polisi sitakishari konstebo Gaston Shadrack alipokwenda kumjulia hali jana katika hospitali ya taifa...

 

11 years ago

Mwananchi

KESI: Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa kizimbani

>Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Makoka, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakihusishwa na wizi wa pesa katika Benki ya Barclays.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI, WAKAMATWA

Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano wanaodaiwa kuhusika na tukio la uvamizi katika kituo cha polisi cha Stakishari kilichopo Ukonga.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema Majambazi hao wamekamatwa Mbagala ambapo katika tukio hilo pia wamekamata pia fedha shilingi milioni 170 na bunduki 16 miongoni mwao ni zile zilizoibiwa katika kituo cha Stakishari.

 

10 years ago

GPL

IGP, MKUU WA MKOA WATEMBELEA KITUO CHA POLISI STAKISHARI, DAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu (katikati) akiongea na wanahabari baada ya kutembelea kituo hicho. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Mecky Sadick akiongea na wanahabari.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani