KESI: Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa kizimbani
>Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Makoka, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakihusishwa na wizi wa pesa katika Benki ya Barclays.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
MSHUKIWA WA MAUAJI YA BINTI WA KAZI KIZIMBANI KWA KESI YA MAUAJI NA MADAWA YA KULEVYA



11 years ago
Habarileo02 Mar
36 kizimbani kwa kesi za mauaji
WATUHUMIWA 36 wa kesi 11 za mauaji, wanatarajiwa kupandishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora, ambayo inaendelea na kikao chake mkoani hapa.
9 years ago
Michuzi27 Nov
KESI YA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA ASKARI WA KITUO CHA STAKISHARI YAAHIRISHWA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeairisha kesi inayowakabili watuhumiwa kumi (10)wa ujambazi wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari Polisi wa kituo Stakishari jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya mauaji ya Askari wa Kituo cha Stakishari ni Omary makota(28),Rajab Ulatule(22),Ramadhani Ulatule(20),Fadhiri Lukwembe(23),Ally Salum(63).
Wengine ni Hamis Salum(51),Nassoro Abdalah(42)Seleman Salum(83),Said Mohamed(67) na Said Abdulah(45)....
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Mtawa, dereva kizimbani kwa ukatili wa kijinsia
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
MTAWA wa Kanisa Katoliki la Shirika la Watawa la Wamisionari wa Augustino, Flora Karimi (38), amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za udhalilishaji wa kijinsia.
Flora (38), ambaye ni Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Monica ya Moshono, jijini Arusha, na dereva wa shule hiyo, Yasin Mswaiki (36), walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha.
Wakili wa Serikali, Sabina Silayo, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Jasmin Abdul kuwa Mswaki, ambayec ni mshitakiwa wa kwanza...
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Watuhumiwa wa Stakishari wapanda kizimbani
11 years ago
GPL
WATUHUMIWA PEMBE ZA NDOVU KIZIMBANI
10 years ago
Habarileo29 Nov
Watuhumiwa ujangili sugu 5 wafikishwa kizimbani
WATU watano wanaodaiwa kuwa ni majangili sugu ambao hufanya ujangili huo katika mikoa ya Arusha na Manyara, wamepandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya kuhujumu uchumi.
10 years ago
GPL
WATUHUMIWA WATATU WA SAKATA LA ESCROW KIZIMBANI
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Watuhumiwa ugaidi Arusha kizimbani leo
WATUHUMIWA 19 waliokamatwa na Jeshi la Polisi jijini Arusha wakihusishwa na matukio mbalimbali yanayoashiria ugaidi, ikiwemo milipuko ya mabomu na umwagiaji tindikali, wanatarajiwa kupanda kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu...