Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watuhumiwa ujangili sugu 5 wafikishwa kizimbani

WATU watano wanaodaiwa kuwa ni majangili sugu ambao hufanya ujangili huo katika mikoa ya Arusha na Manyara, wamepandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya kuhujumu uchumi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa wizi wa Benki ya Barclays wafikishwa kortini

>Watu saba wakiwamo mameneja wawili wa Benki ya Barclays wamefikishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka  ya wizi wa zaidi ya Sh479 milioni mali ya benki hiyo.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi sita watuhumiwa mauaji wafikishwa mahakamani

kovaNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

ASKARI sita waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuhusishwa na mauaji ya wafanyabiashara, jana wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kukusudia.

Washtakiwa hao walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.

Mbele ya Hakimu Simba, Wakili wa Serikali Mkuu, Mutalemwa Kisheni, aliwataja washtakiwa kuwa ni Inspekta Bon Mbange mkazi wa Magomeni, F 919 Sajenti Filbert Nemes na Askari wa Kikosi cha Kuzuia...

 

11 years ago

Mwananchi

Mhando, mkewe na wenzao wafikishwa kizimbani D’Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Geofrey Mhando na mkewe Eva Mhando wamepandishwa kizimbani, huku Mhando akikabiliwa na shtaka moja la matumizi mabaya ya madaraka na mkewe mashtaka manne, likiwamo la kughushi.

 

11 years ago

Habarileo

Waomba majina ya watuhumiwa ujangili

TAASISI inayoundwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Kusimamia Uhifadhi wa Wanyamapori na Matumizi endelevu ya Rasilimali za Hifadhi na Mazingira, wametaka wapewe majina ya viongozi na wafanyabiashara wanaotuhumiwa kujihusisha na ujangili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu: Ujangili Ikulu uchunguzwe

SERIKALI imetakiwa ifanye uchunguzi wa kimataifa kubaini watu waliohusika na ripoti iliyoitia doa Serikali kuhusu madai ya kusafirishwa pembe za ndovu kwenye ndege ya Rais wa China, Xi Jinping. Kauli...

 

11 years ago

GPL

WATUHUMIWA PEMBE ZA NDOVU KIZIMBANI

VIJANA wawili Dominick Kombe (36) na Hebert Macheka (30) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa kesi ya kukamatwa na vipande 28 vya pembe za ndovu vyenye thamani ya shilingi milioni 275. Watuhumiwa hao walikamatwa Juni 5 mwaka huu eneo la Tabata, Kisukulu jijini Dar wakiwa na nyara hizo za serikali ambazo hazikuwa na kibali chochote kinyume na sheria. Kesi hiyo inayosikilizwa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa wa Stakishari wapanda kizimbani

Watu wanne wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba ya mauaji katika Kituo cha Polisi cha Staki Shari kilichopo Wilaya ya Ilala.

 

11 years ago

Habarileo

409 wakamatwa kwa ujangili sugu Katavi

WATU 409 wanaosadikiwa kuwa majangili sugu wamekamatwa wakifanya ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi wilayani Mlele mkoa wa Katavi katika kipindi kilichoanzia Juni 2013 hadi Juni mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

KESI: Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa kizimbani

>Watuhumiwa wa mauaji ya Mtawa Cresencia Kapuri (50) wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Makoka, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakihusishwa na wizi wa pesa katika Benki ya Barclays.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani