Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhando, mkewe na wenzao wafikishwa kizimbani D’Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Geofrey Mhando na mkewe Eva Mhando wamepandishwa kizimbani, huku Mhando akikabiliwa na shtaka moja la matumizi mabaya ya madaraka na mkewe mashtaka manne, likiwamo la kughushi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO WILLIAM MHANDO, MKEWE NA WENZAO WATATU KIZIMBANI


Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Mahakamani

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu. Kadhalika, Mhando anakabiliwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa kuipa zabuni Kampuni ya Santa Clara Supplies Ltd, huku akijua ana...

 

10 years ago

Habarileo

Watuhumiwa ujangili sugu 5 wafikishwa kizimbani

WATU watano wanaodaiwa kuwa ni majangili sugu ambao hufanya ujangili huo katika mikoa ya Arusha na Manyara, wamepandishwa kizimbani kujibu mashitaka ya kuhujumu uchumi.

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI WA ZAMANI WA TANESCO, MKEWE WAPANDISHWA KIZIMBANI

Askari kanzu akitanua njia wakati Mhando (mwenye shati jeupe) akipelekwa kizimbani. Mhando (kushoto) na wenzake wakitoka mahakamani.…

 

11 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa kumpiga mkewe ngumi, makofi

MKAZI wa mtaa wa Ohio, George Kanyama (68) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kumshambulia mke wake kwa kumpiga.

 

10 years ago

Michuzi

mtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo


Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu, Sammy al Mahri, aishiye Uingereza akiwa chini ya ulinzi wa polisi, wakati akipelekwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,leo, kusomewa mashitaka ya kumuua mpenzi wake nchini Uingereza. Mahri anadaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya mauaji hayo. Picha na Khamis Mussa

 

9 years ago

Michuzi

WALIOSAMBAZA MATOKEO YA URAIS KINYUME CHA SHERIA WAPANDISHWA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (katikati), akizungumza na mmoja kati ya vijana nane waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo, kwa tuhuma za kusambaza matokeo ya kura za mgombea nafasi ya urais wa chama hicho katika mitandao ya kijamii kinyume na utaratibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Imedaiwa vijana zaidi ya 190 walikamatwa kwa kosa hilo. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (kushoto),...

 

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani